Huyu mjasiramali "Sirjeff" anapewa mashitaka ya uhujumu uchumi siku chache tu baada ya kuanza kampeni ya No reforms No election!

Huyo ni tapeli, alipoona anakaribia kukamatwa akaamua kucheza na akili za wadanganyika kwa kupiga kampeni ya no reforms no elections ili akidakwa muone huruma mchange hela aachiwe awe hero, Ontario ni janja sana🐼
 
Kawapiga sana forex humu

Shenzy type
 
Bora huyu anauza mbya na maforex kuna yule anajiita chief yeye anayo biashara gan muda wote anashow off manoti mengi mengine si londering kwel
 
MamaSamia2025 ni mtu dhalimu
 
Bora huyu anauza mbya na maforex kuna yule anajiita chief yeye anayo biashara gan muda wote anashow off manoti mengi mengine si londering kwel
Yule yupo CCM hawezi kuguswa
 
I knew this ,
Toikumanya kantu. Kwenye Organization Management inasemwa kwamba, "For any organization to survive must comply to the prevailing political situation". Wewe unalijua hilo au kama umesoma uliishia kupata digrii na sio elimu? Ahahahahaha!
Nakugambira, ilikifeera!!
 
Mimi nimesoma Shule bora na Elimu yangu siyo ya kukariri .

Na Mimi sitoki Bukoba vijijini natoka Mjini kabisa .

Iwe kasigazi toina Okyoumanya ummaisha .
 
tapeli huyo afungwe tu
Tapeli gani anayekamatwa baada tu ya kuunga mkono NRNE! Matapeli wote pasipo kujali nyazfa zao ndani ya serikali, chama au jamii wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja wanapofanya hayo makosa ya utapeli, ok?
 

Sheria ya uhujumu uchumi ni kati ya Sheria ya hovyo sana, mfano, ikithibitishwa pasi na shaka maji ya idara ya maji yanavuja kwako na ukajua, na hukutoa taarifa, unaweza wekwa kihalali kizuizini kwa uhujumu uchumi
 
Mimi nimesoma Shule bora na Elimu yangu siyo ya kukariri .

Na Mimi sitoki Bukoba vijijini natoka Mjini kabisa .

Iwe kasigazi toina Okyoumanya ummaisha .
Kusema umetoka shule bora maana yake una stress. Ila ungezitaja ningelikuelewa. Ngoja nikwambie niliposoma Mimi;
Nimesoma Kahororo Sekondari O - level.
Nimesoma Dakawa High School.
Nimesoma SAUT.
Haya nawe sema hizo shule bora ulizosoma ukaishia kuwa na frustrated live!

Kotagambe olaba kifelelenge! Ahahahahaha!!
 
Mimi siwezi kutaja Shule nilizosoma Ila unaweza ukajua Mimi sijasoma hata Shule moja ya bure wala chuo cha Serikali .

Ndo maana nipo na uwezo mzuri wa kuelewa mambo mbali mbali.
 
Sijaelewa kabisa.

Sirjeff ameshtakiwa? Amefanyaje na no reforms no election?
 
Ndo Tanzania yetu hiyo
 
Tapeli gani anayekamatwa baada tu ya kuunga mkono NRNE! Matapeli wote pasipo kujali nyazfa zao ndani ya serikali, chama au jamii wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja wanapofanya hayo makosa ya utapeli, ok?
za mwizi ni arobaini osie
 
Hakuna mfanyabiashara wa kweli anayehangaika na No Reforms No Election
 
Huyo ni tapeli, alipoona anakaribia kukamatwa akaamua kucheza na akili za wadanganyika kwa kupiga kampeni ya no reforms no elections ili akidakwa muone huruma mchange hela aachiwe awe hero, Ontario ni janja sana🐼
Huyo ni tapeli, alipoona anakaribia kukamatwa akaamua kucheza na akili za wadanganyika kwa kupiga kampeni ya no reforms no elections ili akidakwa muone huruma mchange hela aachiwe awe hero, Ontario ni janja sana🐼
😂😂😂😂 ana mbinu za kishamba sana kama za Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…