Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Stress zinakusumbua dogo. Fanya haraka kamuone Psychiatrist!Mimi siwezi kutaja Shule nilizosoma Ila unaweza ukajua Mimi sijasoma hata Shule moja ya bure wala chuo cha Serikali .
Ndo maana nipo na uwezo mzuri wa kuelewa mambo mbali mbali.
Mimi na wewd nani Ana stress umewahi kuona Mimi nafanya Kazi ya uchawa mitandaoni ya kulipwa buku Saba ?Stress zinakusumbua dogo. Fanya haraka kamuone Psychiatrist!
Tunaoiunga mkono Serikali HATUNA stress. Maisha yanaenda vizuri sana. Lakini ninyi mnaoipinga Serikali, mara nyingi maisha yamewapiga na mnaamini Serikali ndio sababu.Mimi na wewd nani Ana stress umewahi kuona Mimi nafanya Kazi ya uchawa mitandaoni ya kulipwa buku Saba ?
Just imagine Elimu yako yote unaishia kuwa msifia watu siungeomba hata mtaji wahaya tukakuchagia .
πππTunaoiunga mkono Serikali HATUNA stress. Maisha yanaenda vizuri sana. Lakini ninyi mnaoipinga Serikali, mara nyingi maisha yamewapiga na mnaamini Serikali ndio sababu.
Inawezekana wazazi wako walijitahidi kukupeleka shule nzuri lakina kwasababu "zagwa mbali batazilya" ukaishia kufeli na kuwa mtoto wa mama. Inawezekana hata hela za bando ni za mirathi za wazazi wako. Hata kazi huna!
Nyowe ndi muzana ow 'owomukama!πππ
Wewe Jamaa unafurahisha kweli.
πππ
Mahakama hii iliyokaa na kesi ya kina Mdee miaka zaidi ya mitatu bila hukumu huku ushahidi wote ukiwemo, wakati kesi ya urais hapo Kenya ilichukua chini ya miezi mitatu kumalizika. Hakuna mahakama Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yanayoendeshwa na makada wa ccm.Aya kamtetee mahakamani kisutu
πππOmkaikulu natuyaNyowe ndi muzana ow 'owomukama!
Natuya okwo aliyo navigiza Lissu nainywe muliyo mugunuile amaisho? Nyowe ndiyo ninshaba amushale n 'amagosi! Ahahahahaha!!πππOmkaikulu natuya
Uhayani kote sawa tu... mjini kama kijijini.Mimi nimesoma Shule bora na Elimu yangu siyo ya kukariri .
Na Mimi sitoki Bukoba vijijini natoka Mjini kabisa .
Iwe kasigazi toina Okyoumanya ummaisha .
Nifahza mwizi ni arobaini osie
amefanyaje bi mkubwa
Natuya okwo aliyo navigiza Lissu nainywe muliyo mugunuile amaisho? Nyowe ndiyo ninshaba amushale n 'amagosi! Ahahahahaha!!
Kuna mwaka palikua na uzi wa kumshambulia Ontario (sirjeff),niffah na wenzake walipambana ku-dilute uzi hadi ukapoteza mwelekeoamefanyaje bi mkubwa
Kweli kabisa, asante kwa kunisahihisha mkuu.Ontario
He fucked the wrong guyTumia ufahamu wako vizuri ikiwa alikuwa tapeli ilikuaje asikamatwe na waje wamkamate mara alipoanza kuzungumzia NRNE
Vijana wanachukulia poa wanafikiri ni mchezo wa kuigiza, leo unasikia mtu kachapwa risasi ya kichwa imetokea kwenye taya, kesho mwamba kaenda kuchinjwa hospital, majuzi vijana watatu wamepotea hawajulikani walipo alafu na wewe unajiingiza kwenye kumi na nane kama hujajiandaa na haya madhila fanya mitikasi yako kazi ya kuokoa wanadamu muachie Yesu Kristo.ONTARIO ameonewa tu maana siku tano zilizopita watu wasiojulikana walianza kumtisha kwa kumwambia siku zake zinahesabika.
CAG kila mwaka anaibua MAJIZI MAHUJUMU uchumi yaliyopiga MABILIONI ya shilingi na hakuna wanafanywa...Mtu ameanzisha somo la elimu ya forex watu wakajaa akapiga pesa then hauwezi kusema amehujumu uchumi maana hakuna mtu aliyeshikiwa bastola kwenda JANGIG PLAZA kusoma.
Free SIr_Jeff aka ONTARIO