Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Huyu mke nafaa kuoa kweli?

jah bless xon

Senior Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
123
Reaction score
282
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.

Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nao.

Mimi nikafanya kama simind hivi, ili aendelee kushusha maelezo nikamezea nikakatisha story. Tukaendelea na story zingine. Hapo hapo nikachomekea na mimi nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii kula tunda kimasihara)

Nilivyorudi home nikamkalisha wife chini, nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali. Nikamwambia kama unataka nikusamehe, niambie watu wote ambao umeshatembea nao, duuu alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu, wengine wanaishi mtaani kabisa ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma.

Haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyopita lakini na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini

Nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume, namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao na ukimwona ni kapole kweli kabila ni machame.

Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae na kurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini.

Kwa mimi nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kkla mtu aendelee na hamsini zake nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu.

Nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka watu wote hao sikujuaga hata mmoja?

Naombeni ushauri wakuu.
 
Sasa wee mbona unakuwa na unrealistic expectations....yaani mwanamke utombagee weye peke tuu🤣🤣🤣🤣
Kuwa mke ni heshima hatujui tu
Maanayake mtu kaweka rehani maishayake mwanamke akiwa mbaya anaweza kukuharibia kilakitu akikuroga haukwepi akiamua akuue ni dakika sabbu upo nae ndani Akiamua uwe mwanaume wa ovyo ni dakika tu maisha yanakubadilikia hivo kuwa na wasiwas juu ya maishayake sidhani km ni tatizo
Japo Sina Cha kumshauri wenye ndoa zao waje wazungumze
 
kifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?
kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?
wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
 
we ulale na wake za wenzio ni sawa huelewi kama umekula mwanamke wa mtu hlf ukiliwa mkeo unaumia akili huna.

hata kama kuna vitu unatuficha ila unaonyesha ulofa kikubwa hutakiwi kujua mambo zake kama kaliwa ndio ishatoka hiyo.
 
Kuwa mke ni heshima hatujui tu
Maanayake mtu kaweka rehani maishayake mwanamke akiwa mbaya anaweza kukuharibia kilakitu akikuroga haukwepi akiamua akuue ni dakika sabbu upo nae ndani Akiamua uwe mwanaume wa ovyo ni dakika tu maisha yanakubadilikia hivo kuwa na wasiwas juu ya maishayake sidhani km ni tatizo
Japo Sina Cha kumshauri wenye ndoa zao waje wazungumze
Sasa huna cha kushauri kivipi tena mrembo? Wenye ndoa zao kwani wee mrembo hujaolewa?
Bwana haya mambo watu wanataka tuu kujidanganya....mwanamke ana matamanio ya kibinadamu mambo ya kugegedwa na handsome man nayo wanatamani.
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Wewe unamatatizo ya akili na inaonyesha unapenda kum-control mkeo kama remote. Haiwezekani vitu vya miaka 10 nyuma uvibebe leo na hapo umetoka kulala na rafiki yake.
 
Pole sana, Wanaume tunapitia maumivu mengi sana. Hakuna kitu kizito kama kuchapiwa.
Umenikumbusha bwana nilikuwa na mdigo wangu yaani tulikubaliana kabisa we just sexmates, loh siku ya siku nikaja gundua amegegedwa duh siku hiyo sikulala mzeya maana nawaza haya mauno ya kidigo jamaa nae anapewa...iliuma sana jamani acheni tuu
 
kifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?

kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?

wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
Huyu mwanamke usema kweli nilikakuta bikra..ndiyo kalikuwa mwaka wa kwanza chuo...kinachoniuma nikutombewa nikiwa nae ndani..na mwaka wa mwisho ni mimi nilimlipia ada..baada ya mimba ya mtoto wakwanza kukua na wazazi wake kujua..
 
Yani mke wako unaazaje kumuuliza mambo ya kuwa nani alimkula kabla hujamuoa??? una matatizo ya akili wewe alafu ikusaidie nini??? kwani wewe umekula wangapi kabla yake na ubaya umemla rafiki yake wakati mshafunga na ndoa tayari acha UJINGA.. wanawake sio malaika nao ni watu
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Wewe ni mpumbavu sana. Kwanza kuuliza mambo yaliyopita kabla hujawa na huyo mwanamke (after living with her for 11 years) ulikuwa unatafuta nini?

Umeshazaa naye watoto watatu unataka NANI mwingine aje akulelee hao watoto?

Ngoja niishie hapo nisije andika mambo mengine nikapata ban bure wakati sijawahi kuwa banned.
 
Kama ukumkuta bikira kwann usumbuke na yake ya nyuma, usipende Sana kuchokonoa. Halafu ukiwa na akili ya kumfatilia Sana mkeo utaishia pata maradhi ya moyo.
 
Back
Top Bottom