Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Hapo mwamba anajiona kaandika bonge moja la uzi ana point [emoji16][emoji16]

Mimi ni sio muumini wa ndoa ni heartless mzee wa hit and run nikwambie tu

Mwanangu umetoa boko
 
Sasa huna cha kushauri kivipi tena mrembo? Wenye ndoa zao kwani wee mrembo hujaolewa?
Bwana haya mambo watu wanataka tuu kujidanganya....mwanamke ana matamanio ya kibinadamu mambo ya kugegedwa na handsome man nayo wanatamani.
Kwanza alitka agundue nn kwenda kumuuliza hayo mambo
 
Sasa unataka ushauri gani?

Umekaa na mtu miaka 11, ushamchakaza vya kila namna alafu umuache unamuachia nani??

Kaa na mkeo aisee,, samehe na mkanye.. malizieni uzee wenu eboo
Kabisa wakabariki ndoa yaishe tu
 
kifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?

kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?

wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
Dada wa watu alikuwa ziwa saa sita sahiz limekuwa ndala anatka amuachie nani 😂😂😂
 
Nilichogundua watanzani sijui ni stress za maisha au ni elimu unacomment kitu kwa mihemko huku hujaelewa ndio nini soma kitu uelew kwanza mshikaji kasema ameishi na mkew miaka 11 mwaka 8 na 9 wakiwa pamoja mwanamke ndio kachepuka
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Kwana na wewe hapo unaingia kwenye idadi ya wanaume aliotembea nao kwa sababu hujamuoa na wala we sio mme wake

Hivyo basi ulikuwa uko kwenye usaili namwenzio ajiridhishe kwa nini uwe mme wake.

Ushauri muoe tuu ili apate ulinzi wa Mungu wake

Habari za kuchepuka kwa karne hii sio za kuzipa kipaumbele.

Kwa miaka ya mbeleni hapo waume mtalazima kuangalia jee mkeo kalala bdani basi? Habari ya anatembea na furani hiyo haitakuwa haki yenu teeena. Ndio maana unaona wanajiimalisha kwa kila nyanja

Make we umeambiwa tuu na umeamua kuyachokonoa yasiyokuhusu
 
Umenikumbusha bwana nilikuwa na mdigo wangu yaani tulikubaliana kabisa we just sexmates, loh siku ya siku nikaja gundua amegegedwa duh siku hiyo sikulala mzeya maana nawaza haya mauno ya kidigo jamaa nae anapewa...iliuma sana jamani acheni tuu
Huo ni ubinafsi aseeeeee

Yani nimecheka kwa sauti asee
 
Umenikumbusha bwana nilikuwa na mdigo wangu yaani tulikubaliana kabisa we just sexmates, loh siku ya siku nikaja gundua amegegedwa duh siku hiyo sikulala mzeya maana nawaza haya mauno ya kidigo jamaa nae anapewa...iliuma sana jamani acheni tuu
😂Polesana ukakumbuka ilichomoka akairudisha😁😁😁
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Akili zako siyo nzuri
 
Cha pekeyako ni kaburi mzee😂😂

Back
Top Bottom