Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Yani mke wako unaazaje kumuuliza mambo ya kuwa nani alimkula kabla hujamuoa??? una matatizo ya akili wewe alafu ikusaidie nini??? kwani wewe umekula wangapi kabla yake na ubaya umemla rafiki yake wakati mshafunga na ndoa tayari acha UJINGA.. wanawake sio malaika nao ni watu
Sijui simu yangu imefuta baadhi ya maandishi ya mleta bandiko?? Sijaona sehemu iliyoandikwa wamefunga ndoa
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Ndio tatizo la kupelelezana hilo
 
Chaguo ni lako, ila jua huyo ni malaya na hatoacha kamwe. Hivyo kama uko radhi kumuoa huku ukiendelea kuchapiwa, kazi kwako
 
Si amegoma mwenyewe hajamuoa na dio maana anashaurisha aoe ama asioe?
anavuta bhangi huyooo 😀 😀 😀 anahisi hajamuoa kwa akili zake fupii yani kuna wanaume wanatudhalilisha sana jitu zima hili anajiona ni mtoto wa miaka 25 ambae kampa mimba tu msichana flani..
 
Huo ni ubinafsi aseeeeee

Yani nimecheka kwa sauti asee
Kweli mzeya ni ubinafsi na mie ndio nilikuwa mstari wa mbele oh am not a one woman man so wee tugegedane na wee upo free kugegedwa na wanaume wengine.

Bwana bwana siku ya siku tunapiga stoey ananielezea jinsi alivyogegedana na jamaa....aise usiku sikulala yaani huyu mdigo wangu anaenda kutoa uno lile kwa mwanaume mwengine. Aisee hii kitu acha tuu.
 
Usimwache mambo mengine yanahitaji ukomavu wa akili tu we angalia mazuri yake tu hayo mengine ni ya kibi n a dam
 
😂Polesana ukakumbuka ilichomoka akairudisha😁😁😁
Yaani moyo unauma usingizi hauji basi balaa..alafu siku inayofuata nilikuwa na safari basi ndio kabisaaa...mpaka wale nilikuwa nasafiri nao wananiuliza leo mzabzab haupo sawa mie nazuga tuu naumwa 🤣🤣🤣🤣 kumbe mbususu inanisumbua kichwa
 
Kweli mzeya ni ubinafsi na mie ndio nilikuwa mstari wa mbele oh am not a one woman man so wee tugegedane na wee upo free kugegedwa na wanaume wengine.

Bwana bwana siku ya siku tunapiga stoey ananielezea jinsi alivyogegedana na jamaa....aise usiku sikulala yaani huyu mdigo wangu anaenda kutoa uno lile kwa mwanaume mwengine. Aisee hii kitu acha tuu.
Nimecheka kama kichaa

Alikuwepo jamaa alikuwa akichepuka anarekodi kwa siri anamletea demu wake
Bwana siku moja yule demu akaenda kuchakatwa na yeye akarekodi kumlingishia bwanaake

Kilichotokea tuu mimi mpaka leo ni msimamizi wa mirathi aseee
 
Yaani moyo unauma usingizi hauji basi balaa..alafu siku inayofuata nilikuwa na safari basi ndio kabisaaa...mpaka wale nilikuwa nasafiri nao wananiuliza leo mzabzab haupo sawa mie nazuga tuu naumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe mbususu inanisumbua kichwa
Mkuu wewe usiwe na shida nilidhani ana ukimwi hata akiwa nao kwani tunaishi milele kifo kipo tu. Kama hakunyimi papuchi wewe ipige kinoma mpaka awasahau wote pia kama unasafiri safiri toka naye mwende wote kisa nawe hujatulia vilevile.
 
Nilichogundua watanzani sijui ni stress za maisha au ni elimu unacomment kitu kwa mihemko huku hujaelewa ndio nini soma kitu uelew kwanza mshikaji kasema ameishi na mkew miaka 11 mwaka 8 na 9 wakiwa pamoja mwanamke ndio kachepuka
Na yeye pia kachepuka na rafiki yake mwaka wa kumi na moja je yeye ni mtakatifu?
 
Kichwa cha habari kimenichanganya..ila kuwa na wanaume 9 ndani ya ndoa sijui ndo long term relationship napo kipengele.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Back
Top Bottom