Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma comments zangu vizuriWewe ni mpumbavu sana. Kwanza kuuliza mambo yaliyopita kabla hujawa na huyo mwanamke (after living with her for 11 years) ulikuwa unatafuta nini?
Umeshazaa naye watoto watatu unataka NANI mwingine aje akulelee hao watoto?
Ngoja niishie hapo nisije andika mambo mengine nikapata ban bure wakati sijawahi kuwa banned.
kamuulize mchungaji wako ni wapi katika biblia yeye huyo mchungaji wako au kanisa lake na yeye mwenyewe alipewa mamlaka ya kufungisha ndoa na kwamba ndoa isipo pitia kanisani sio ndoa halali wewe na huyo mchungaji wako mkilipata hilo andiko nitawapa zawadi nono sana.Huyu mwanamke usema kweli nilikakuta bikra..ndiyo kalikuwa mwaka wa kwanza chuo...kinachoniuma nikutombewa nikiwa nae ndani..na mwaka wa mwisho ni mimi nilimlipia ada..baada ya mimba ya mtoto wakwanza kukua na wazazi wake kujua..
Mkae vizuri kwenye dini! huku wewe unazurula vichakani kula tunda kimasihara! Wewe msafi isipokuwa mla matunda pori huku unamuona mkeo si msafi kwa kuliwa kimasihara, acha utani sijui nikusaidiaje.Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Huyo mgumba wako muda unapoandika uzi kuna midume inamkula hatari.Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Soma post #11Yani mke wako unaazaje kumuuliza mambo ya kuwa nani alimkula kabla hujamuoa??? una matatizo ya akili wewe alafu ikusaidie nini??? kwani wewe umekula wangapi kabla yake na ubaya umemla rafiki yake wakati mshafunga na ndoa tayari acha UJINGA.. wanawake sio malaika nao ni watu
Soma post #11Kama ukumkuta bikira kwann usumbuke na yake ya nyuma, usipende Sana kuchokonoa. Halafu ukiwa na akili ya kumfatilia Sana mkeo utaishia pata maradhi ya moyo.
AsanteHuu ulimwengu wa sasa shetani anawinda ndoa kuzibomoa Ili awaharibu watoto baada ya kuwasambaratisha wazazi
najiuliza mwanaume wa hivi anawezaje kuwa na familia naye ukamuita baba nashangaaYani mke wako unaazaje kumuuliza mambo ya kuwa nani alimkula kabla hujamuoa??? una matatizo ya akili wewe alafu ikusaidie nini??? kwani wewe umekula wangapi kabla yake na ubaya umemla rafiki yake wakati mshafunga na ndoa tayari acha UJINGA.. wanawake sio malaika nao ni watu
Aseh! Hauko serious kabisa na mkeo or mpenzi wako huyo, wewe tu unasema umekutana na rafiki yake mkafanya Ngono Sasa ... Ya mwanamke aliokuwa nao 3 yrs huko inakufanya uumie Nini ilihalli wewe tu umetoka nje ya boma,Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Inaonekana wazi kabisa jamaa alikuwa anampeleka atakavyo mke wake huyo...Wewe unamatatizo ya akili na inaonyesha unapenda kum-control mkeo kama remote. Haiwezekani vitu vya miaka 10 nyuma uvibebe leo na hapo umetoka kulala na rafiki yake.
Story ya huyu jamaa zinaonesha kuwa wanaume duniani wamebaki wachache sana...Imagine uwezo wake wa kureason mambo...kweli kabisa mwanaume kamili anaweza kuuliza ulitembea na nani na nani?ili agundue nini? Duh Mungu asaidie vizazi vyetukifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?
kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?
wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
Sasa shangazi mbna huyu mwanaume nae ni malayaaa.Kuwa mke ni heshima hatujui tu
Maanayake mtu kaweka rehani maishayake mwanamke akiwa mbaya anaweza kukuharibia kilakitu akikuroga haukwepi akiamua akuue ni dakika sabbu upo nae ndani Akiamua uwe mwanaume wa ovyo ni dakika tu maisha yanakubadilikia hivo kuwa na wasiwas juu ya maishayake sidhani km ni tatizo
Japo Sina Cha kumshauri wenye ndoa zao waje wazungumze