Huyu mke wa mtu analika au haliki?

Huyu mke wa mtu analika au haliki?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Mko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?

Screenshot_20250306_080757_Messenger.jpg
 
Mko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?
Bado hujajua Sheria,Kanuni, miongozo na taratibu za Utongozaji.

Kwenye Kutongoza mwanamke ni KOSA KUBWA SANA KUMWAMBIA "NAKUPENDA/NMETOKEA KUKUPENDA /NMEKUPENDA NAOMBA TUWE PAMOJA/NAKUPENDA NIPE NAFASI MOYONI MWAKO!!.


Ni makosa makubwa sana ambayo HAUTAKAA UMLE MWANAMKE KIMASIHARA


KWANN?? jibu ni jepesi sana, Unakua umempa mpira mikononi mwake, yaan ni yeye wa mwisho atakayeamua namna ya kuudundisha.

Siunaona hapo anakuambia mpe muda akujue?? Unahisi atakuzungusha muda gan? Na Hilo litakufanya Fala kama wewe upigwe mizinga kwelikweli !!.



Mwanamke anakua manipulated bila Kuruhusu Afanye maamuzi logically ,unambamanisha kwenye Kona itakayomuacha afanye maamuzi emotionally.


Anakuja kustuka anajiuliza "Daahh hivi imekuaje nimeshaliwa tayari na huyu mwamba??".
 
Haya mambo mnafanya lakini kuna dhambi zaidi ya hii ya kula wake za watu wapumbavu,

Familia nyingi zinaharibikia hapa na watoto kuanza kuzagaa zagaa sababu ya mafala kama nyinyi, ni wachache sana watavumilia kuchapiwa ila wengi wao kama si kugawana

Majengo ya serikali basi ni kuachana , je mkifumwa let say jamaa akuachie mke kabisa utaweza kumchukua ?
Ni vipi hujaona kabisa wanawake walio free mpka mke wa mtu?

Haya ni maswali ambayo siku moja utayajibu ukiwa na majuto sana.
 
Ni aibu sana dume zima unaleta mambo ya mke wa mtu ili upate faraja. Mke wa mtu ni uchungu uliojificha katika kona ya mbali katika moyo wa mwanaume yoyote.

Wala hakuna pride yoyote ambayo unafanya hapo, arrogance ndio imekuleta hapa,

Mimi nikuhakikishie tu beba haya mafuta muda wote
a1c41c00f4a15c782735a2084e35a27a.jpg
 
Back
Top Bottom