ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ngoja tu waanikwe ili walau speed ipungue kidogo, watoto wa kike wanawekwa sana aisee.Ila kuna wavulana washamba humu chini ya jua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tu waanikwe ili walau speed ipungue kidogo, watoto wa kike wanawekwa sana aisee.Ila kuna wavulana washamba humu chini ya jua
Sahihi, baadhi Yao huzuga zuga kutoonekana Malaya ( Anti- Slut defense mechanism).Of course kuliwa ni kuliwa tu, ila going too cheap sio poa. Ndio maana nikasema kistaarabu analika.
Haitasaidia. Mtu akiamua kuliwa analiwa vizuri tu mkuuNgoja tu waanikwe ili walau speed ipungue kidogo, watoto wa kike wanawekwa sana aisee.
Naamini inapunguza speed kidogo, unadhani huyo mke wa mtu akiona chats zake mitandaoni atathubutu tena, kinachofuata hapo ni picha zake kutupiwa mitandaoni.Haitasaidia. Mtu akiamua kuliwa analiwa vizuri tu mkuu
Ndio maana vijana mnaliwa sana kibogaMko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?
View attachment 3260781
Hii principle inafanya kazi in short run, ila In longrun ni hatari ,utauponzaKula nyama nyamaza
Kama ataona hii chat hapa basi mwenzenu ndo kakosa uteleziNaamini inapunguza speed kidogo, unadhani huyo mke wa mtu akiona chats zake mitandaoni atathubutu tena, kinachofuata hapo ni picha zake kutupiwa mitandaoni.
we kula mkuu, hujui nani anamla wako, 😁Mko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?
View attachment 3260781
Basi walaji ndio hao tulieni waanike mambo hadharani, ukitaka heshima kaitafute kwa mumeoHaitasaidia. Mtu akiamua kuliwa analiwa vizuri tu mkuu
Sio tu kukosa utelezi, huyo mdada atawaza mara mbili kumkubali mtu. Online bullying hiyo na inaweza kummaliza kisaikolojia.Kama ataona hii chat hapa basi mwenzenu ndo kakosa utelezi
😀Sasa kama yuko huku jamvini si atakusuta??😁
Wanaume mjifunze kuwa na kaba!
Mambo ni bam bamBasi walaji ndio hao tulieni waanike mambo hadharani
Dume zezeta hiliSasa kama yuko huku jamvini si atakusuta??😁
Wanaume mjifunze kuwa na kaba!
Jinga sana hiliIla kuna wavulana washamba humu chini ya jua