Mitchell
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 904
- 1,036
😀 😀 na kweli hahahaha abebe tuuNi aibu sana dume zima unaleta mambo ya mke wa mtu ili upate faraja. Mke wa mtu ni uchungu uliojificha katika kona ya mbali katika moyo wa mwanaume yoyote.
Wala hakuna pride yoyote ambayo unafanya hapo, arrogance ndio imekuleta hapa,
Mimi nikuhakikishie tu beba haya mafuta muda wote
View attachment 3260784