Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitoto vya 2005 hivi vimeanza balehe.Ila kuna wavulana washamba humu chini ya jua
Maisha ni magumu...chunga blackmail. Utapigwa faini ya 5mil ili yaishe. Ndio njoa mpya ya kuingiza kipato kwenye familia.Mko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?
View attachment 3260781
Naona una na "Vingereza uchwara", " something concrete" ukidhani ni swaga kwamba utamteka zaidi.Mko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?
View attachment 3260781
KabisaHapo wote mnalika mkuu..!!
Huyu sio mwanaume ni mvulanaSasa kama yuko huku jamvini si atakusuta??😁
Wanaume mjifunze kuwa na kaba!
Nitumie namba zake mkuu nataka nimhubiri aokokeMke wa mtu sumu, kuna mmoja huyo mvaa hijab ananisumbua sana ila tangu mfungo uanze kaacha ila ukiisha najua fika ataendelea.
Si busara mkuuNitumie namba zake mkuu nataka nimhubiri aokoke
We unipendi jirani yako kumbeJirani mjibu vizuri tukale iftari 😹
Subiri akudownload kama hutakimbiaMko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?
View attachment 3260781
Huyu sio mwanaume ni WA kiumeSasa kama yuko huku jamvini si atakusuta??😁
Wanaume mjifunze kuwa na kaba!
Tofautisha wanaume na vijana hawa wa “hovyo”Sasa kama yuko huku jamvini si atakusuta??😁
Wanaume mjifunze kuwa na kaba!
Jirani tutakosa pa kufturu, we mjibu vizuri bhana kwani anaondoka nayo?? Makengele si utabaki nayo mwenyewe 😹😹We unipendi jirani yako kumbe
Mke wa mtu sumu jirani acha nikomae tu na hawa wachuo niwafuturishe mwenyewe 😂Jirani tutakosa pa kufturu, we mjibu vizuri bhana kwani anaondoka nayo?? Makengele si utabaki nayo mwenyewe 😹😹