Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hata wewe mume wa mtu bhana jirani, usipomla huyo mvaa hijab sitokuelewa kabisaa.!! Nishaandaa abaya langu la kwenda kufturu puliiiizzzz 😹😹Mke wa mtu sumu jirani acha nikomae tu na hawa wachuo niwafuturishe mwenyewe 😂