Bado hujajua Sheria,Kanuni, miongozo na taratibu za Utongozaji.
Kwenye Kutongoza mwanamke ni KOSA KUBWA SANA KUMWAMBIA "NAKUPENDA/NMETOKEA KUKUPENDA /NMEKUPENDA NAOMBA TUWE PAMOJA/NAKUPENDA NIPE NAFASI MOYONI MWAKO!!.
Ni makosa makubwa sana ambayo HAUTAKAA UMLE MWANAMKE KIMASIHARA
KWANN?? jibu ni jepesi sana, Unakua umempa mpira mikononi mwake, yaan ni yeye wa mwisho atakayeamua namna ya kuudundisha.
Siunaona hapo anakuambia mpe muda akujue?? Unahisi atakuzungusha muda gan? Na Hilo litakufanya Fala kama wewe upigwe mizinga kwelikweli !!.
Mwanamke anakua manipulated bila Kuruhusu Afanye maamuzi logically ,unambamanisha kwenye Kona itakayomuacha afanye maamuzi emotionally.
Anakuja kustuka anajiuliza "Daahh hivi imekuaje nimeshaliwa tayari na huyu mwamba??".