Huyu mke wa mtu analika au haliki?

Huyu mke wa mtu analika au haliki?

Haya mambo mnafanya lakini kuna dhambi zaidi ya hii ya kula wake za watu wapumbavu,

Familia nyingi zinaharibikia hapa na watoto kuanza kuzagaa zagaa sababu ya mafala kama nyinyi, ni wachache sana watavumilia kuchapiwa ila wengi wao kama si kugawana

Majengo ya serikali basi ni kuachana , je mkifumwa let say jamaa akuachie mke kabisa utaweza kumchukua ?
Ni vipi hujaona kabisa wanawake walio free mpka mke wa mtu?

Haya ni maswali ambayo siku moja utayajibu ukiwa na majuto sana.
Well said... why utongoze mke wa mtuu?..mtu akikwambiaa ni mke wa mtuu achana nayee.. nyieeee wanaume ndio chachu ya mabadiliko ktk hili..oneeni huruma wanaume wenzenuu mke anaumaaa jamani
 
Mko poa watu wa humu?
Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa.
Je analika au haliki?

View attachment 3260781
Kwa hapo kijana unakibarua kigumu uwanja wa kabumbu unamatuta😀😀😀

Hapo utalialia sana.Chances ya wewe kumvua huyo samaki ni ndogo sana 2% tu.

📌📌📌Hayo magumegume huwa unatakiwa kuyaacha kwanza yakuzoee ili yakuamini( hapa usiwe roporopo au mjuaji sana just be humble and smart utajilia mijimama na mishangazi mpaka uchoke mwenyewe) alafu unapita na utani wa kimasihara huku unapima upepo na kubalance shobo.Hiyo staili yako hapo utakesha.
 
Wakuu msimshambulie jamaa , Hawa Wanawake hawako kama vile mnavyowachukulia, wengi Si waaminifu.
Bora umesema wewe tukisema sisi tunaitwa majina ya ajabu😂😂😂

Ni ukweli mchungu zama hizi ukijitia kupenda imekula kwako. Moyo wako utageuka tenga ni matobomatobo kila mahali.🙌🙌🙌

Na vijana wamechagua njia ya "HIT & RUN" kujilinda na maumivu ya moyo.
 
Huu nao utoto maana kama tendo huwa ni Siri ya wawili alafu unaleta huku ni kukosa adabu kabisa
 
Haya mambo mnafanya lakini kuna dhambi zaidi ya hii ya kula wake za watu wapumbavu,

Familia nyingi zinaharibikia hapa na watoto kuanza kuzagaa zagaa sababu ya mafala kama nyinyi, ni wachache sana watavumilia kuchapiwa ila wengi wao kama si kugawana

Majengo ya serikali basi ni kuachana , je mkifumwa let say jamaa akuachie mke kabisa utaweza kumchukua ?
Ni vipi hujaona kabisa wanawake walio free mpka mke wa mtu?

Haya ni maswali ambayo siku moja utayajibu ukiwa na majuto sana.
Mwenyewe anajiona mjanja apo mpaka anakuja kupost, kuna jamaa flani aliwahi kusema there's a very big difference between being a man and a boy for a man is always assertive but a boy is just frustrated and possessive.
Akishare vitu kama hivyo na wenzake wanaofanana akili basi watamsifia hapo, watampamba mwenyewe anaona YES ila deep down they don't even think wanapelekeshwa na vichwa vya chini
 
Ovyoo ndio nyie mkipewa mnaenda tangaza sasa jishaue ule alafu ukiliwa usisahau kuja kutuhabarisha tena humu.
 
Wakuu msimshambulie jamaa , Hawa Wanawake hawako kama vile mnavyowachukulia, wengi Si waaminifu.
Inawezekana ni kweli lakini hilo hali justify uhalali wa kuleta mambo yake na mke wa mtu hadharani, kama amekomaa kiakili kwanini asimalizane nae huko huko wafanye watakayokubaliana??!!

Kijana kama huyu hata akifanikiwa kulala na huyo mwanamke inaonekana kabisa anaweza akapeleka stori maskani na kutangaza mtaa mzima, mwisho wa siku anaweza akaambulia kuliwa kiboga. Kula nyama nyamaza.
 
Back
Top Bottom