Sleeping pills
Member
- Feb 23, 2023
- 77
- 77
Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
Wewe ni keHuyo ni malayer kiujumla