Sleeping pills
Member
- Feb 23, 2023
- 77
- 77
Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
Wewe ni keHuyo ni malayer kiujumla
Weww ndiye unawajua wanawake mkuu,me pia nilikua na kamchepuko kangu miaka ya nyuma,siku chache kabla hakajaolewa nililala nako kakanipa yote kakaniambia hii ndiyo bye bye hutokaa unitie tena.na kweli baada ya kuolewa tunaweza tukasalimiana mara moja au mbili kwa mwaka. Sometimes naweza nikakacheck kakala buyu tu coz kanaelewa kakiendekeza mawasliano na mimi tutaishia kutiana tu.[emoji28] anamlazimisha? Anajibu afu unasema anamlazimisha?
Ambao hua hawataki hua hawajibu kitu mkuu
Sasa mwambie huyo anaesema anamlazimisha wakati anajibuWeww ndiye unawajua wanawake mkuu,me pia nilikua na kamchepuko kangu miaka ya nyuma,siku chache kabla hakajaolewa nililala nako kakanipa yote kakaniambia hii ndiyo bye bye hutokaa unitie tena.na kweli baada ya kuolewa tunaweza tukasalimiana mara moja au mbili kwa mwaka. Sometimes naweza nikakacheck kakala buyu tu coz kanaelewa kakiendekeza mawasliano na mimi tutaishia kutiana tu.
Nilipiga pumb.u sanaMkuu,leo si ndio unakula hiyo mbususu?