Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Anaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi.

Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"
 
Ok good but swali la huyu mwamba lilikuaa ni kuhusu viumbe wote kwa ujumla wake kwamba sisi wanyama mimea nakadhalika. Nani ananufaika na uwepo wetu juu ya uso wa dunia?
Tukifikiria kuwa nani katuwekea haya mazingira mfano hewa za oksijeni na nitrogeni na carbon inaonyesha haya mazingira yamewekwa na Entity's fulani, lakini sidhani kama hiyo Entity's au Entity ina nufaika na chochote juu ya uwepo wetu.

Labda kutuangalia tu kama ZOO.
 
So we are useless to them?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…