Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Inategemea labda tayari una jibu lako.......Naona swali limekushinda mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea labda tayari una jibu lako.......Naona swali limekushinda mkuu
Kiufupi hao jamaa wanauliza maswali kila siku kwa sababu hata ideas zao wana mashaka nazo .Nani??
Kwamba ni mtu au jitu??
Mpaka anauliza nani, huenda alishajua kuna huyu na huyu je ni nani kati ya hawa!!?
Nani hutumika kwa binadamu pekee, kwa maana hiyo anauliza ni binadamu gani??
Bila shaka anahitaj jina la huyo mnufaika.
Hebu tujiulize, huyo mnufaika hatokufa ilhali sote tutakufa??
Hili swali halina jibu.Ok good but swali la huyu mwamba lilikuaa ni kuhusu viumbe wote kwa ujumla wake kwamba sisi wanyama mimea nakadhalika. Nani ananufaika na uwepo wetu juu ya uso wa dunia?
Swali ameuliza " Hivi ni nani anae nufaika na uwepo wetu duniani" ukajibu " Mungu" nikakuuliza " how" ukasema anajua Mungu mwenyewe. Anyways do u know kwanini nimekuuliza" Mungu ananufaika vipi na uwepo wetu duniani"?Inategemea labda tayari una jibu lako.......
Wacha kutisha watu mkuuSwali zuri ila kabla sijajibu kamuambie huyo kijana awe makini
Asije akatumia maneno makali kukashifu dini za watu
Africa sio sehemu nzuri ya kukashifu dini
Kuna atheists waliuwawa mwaka jana oct nigeria, mwingine alihukumiwa kifungo cha miaka 24 2022
Anawachanganya maboya wamuone ni GT.Kiufupi hao jamaa wanauliza maswali kila siku kwa sababu hata ideas zao wana mashaka nazo .
Mpaka anauliza nan ananufaika basi hana uhakika na misimamo yake.
Mtoa mada kamaanisha sisi wanadamu pamoja na viumbe vyote kuanzia wanyama mimea hadi hao unao wazungumzia wewe. Sisi wote kwa ujumla wetu nani ana nufaika na uwepo wetu hapa duniani?Viko viumbe vingi mwilini mwako vinavyonufaika vinavyoonekana na visivyoonekana hapo hujipatia chakula,maji na makazi
Mfano chawa,viroboto,kunguni,minyoo,funza,mabakteria, protozoans,mavirusi,maparata geto kwako mixer panya,mbu na wengine
You are more than a shopping Mall
Labda pia nikuulize kwako Mungu ni nani?Swali ameuliza " Hivi ni nani anae nufaika na uwepo wetu duniani" ukajibu " Mungu" nikakuuliza " how" ukasema anajua Mungu mwenyewe. Anyways do u know kwanini nimekuuliza" Mungu ananufaika vipi na uwepo wetu duniani"?
Ndo hivo maana tokea hapo ndo utapata pia sababuDuh yamekuwa hayo tena
Labda ni sawa na Tajiri fulani kufungua ZOO yake Binafsi na yeye/wao kuwa anatuangalia maybe we're useless to them.So we are useless to them?