Hilo swali limekaa kihistoria zaidi Ila nitafupisha maelezo
Hapo kale kipindi transformation kutoka herding kwenda clan kwenda class kwenda state kulikua na disintegration tofauti tofauti zilizopelekea subdivision of classes kukawa na superior class na inferior class the same kwa state kukawa na superior state na inferior state
Sasa nikulete kwenye manufaa kwenye transformation kuna kitu kiliibuka kwenye stage ya classes hapo kuna kitu kinaitwa slavery kiliibuka sasa hawa slave ni workers ambao hufanya kazi kwa superior class you see kwa maana hio ukiwa kwenye inferior class maana yake wewe unainufaisha superior class kwa kufanya kazi as a slave (worker) kwa superior class
Narudi kwenye swali kwa ku-summarize km wewe haupo kwenye superior class upo kwenye inferior class basi wewe unafanya kazi as a slave (worker) kwa manufaa ya superior class na hio maana yake ni kwamba wewe upo kwa manufaa ya superior class
Case closed!