Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ndo maana nikauliza kwanza kwako unamfahamu Mungu vipi maana kwa wengine tayari nature ni MunguMungu hawezi kuwa ananufaika na uwepo wetu duniani hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nikauliza kwanza kwako unamfahamu Mungu vipi maana kwa wengine tayari nature ni MunguMungu hawezi kuwa ananufaika na uwepo wetu duniani hata kidogo
Lina Jibu na MajibuHili swali halina jibu.
Namaanisha hakuna jibu la uhakika kwamba limethibitishwa ndo jibu sahihiLina Jibu na Majibu
Tuseme "Mungu" au "Miungu"ndie mjenzi/wajenzi kwa namna ya huu Ukubwa wa Universe hii ilivyo kubwa na idadi ya vilivyomo vilivivyokuwa ni vingi vingi vingi vingi kweli kweli kweli.Kwa vyovyote vile Mungu hawezi kuwa ananufaika na uwepo wetu duniani
Point yangu ni kwamba kwa mujibu wa mafundisho ya dini zetu kuu mbili Mungu imekamilika. He doesn't want anything. Yeye kama yeye anajitosheleza. Hawezi kupata faida wala hasara. Hawezi kunufaika wala kutokunufaika kwa chochote kile na uwepo wetu duniani. Ndio maana nimesema kwa sifa anazo tajwa kuwa nazo Mungu hawezi kunufaika na uwepo wetu hapa duniani kwa namna yoyote ile kwa sababu yeye amekamilika so hawezi kunufaishwa wala kutonufaishwa na kitu chochote kileTuseme "Mungu" au "Miungu"ndie mjenzi/wajenzi kwa namna ya huu Ukubwa wa Universe hii ilivyo kubwa na idadi ya vilivyomo vilivivyokuwa ni vingi vingi vingi vingi kweli kweli kweli.
Ni kwanini atumaindi sisi Big Apes Homo Sapiens pekee wa hapa kwenye hili Jiwe la tatu kutoka kwenye Nyota?
Umeongea kitu kikubwa sana mkuu,Kwani mnufaika lazima awepo?
Jamaa kauliza swali kiduanzi Sana.
Anza kujibu weweJibu swali
Of course tushughulishe Mind zetu sio kila maswali magumu tuwaachie Wazungu na Waarabu.Namaanisha hakuna jibu la uhakika kwamba limethibitishwa ndo jibu sahihi
Jibu linategemea worldview yako
😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa Tz anaenufaika ni January makamba
Dini ni Man made haziwezi kujibu maswali magumu na ndio zimem invent Mungu.Point yangu ni kwamba kwa mujibu wa mafundisho ya dini zetu kuu mbili Mungu imekamilika.
Kumbe unajibu lako ya nini kulazimisha watu wajibu unavyotaka. Unatafuta wafuasi kwa nguvu?Weka coma mkuu usiweke fullstop. Majibu yatakuwepo tu.. Mimi Binafsi nipo na jibu moja lakini nashangaa mpaka muda huu hakuna mtu ambae walau amelizungumzia
Kwani kuna ulazima wa faidaAnaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi.
Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"View attachment 2930530
Hii sura ndio ilinifanya Nitoke kwenye dini niliyo rithi kwa wazazi wangu ( uislamu) na kurejea kwenye dini za mababu zilizo kuwepo kabla ya ujio wa dini za wazungu na waarabu.Surat Adh-Dhariyat [51:56]
وَمَا خَلَقْتُ ٱلْجِنَّ وَٱلْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ٥٦