Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

Ananufaika aliyetuleta
 
Point ni zile zile za toka mwaka 94.

1. Poor leadership

2. Poor infrastructure.

3. Poor social services

4. Lack of education etc.

I don't like this kind if reasoning mkuu. It is very horible.

Think freely
 
Point ni zile zile za toka mwaka 94.

1. Poor leadership

2. Poor infrastructure.

3. Poor social services

4. Lack of education etc.

I don't like this kind if reasoning mkuu. It is very horible.

Think freely
Nimemaliza kila kitu hapo km unakataa endelea kukataa wewe ni Government property chochote unachofanya ni kwa manufaa ya Serikali na upo ili Serikali inufaike

Hutaki kunya Boga
 
Mtoa mada kamaanisha sisi wanadamu pamoja na viumbe vyote kuanzia wanyama mimea hadi hao unao wazungumzia wewe. Sisi wote kwa ujumla wetu nani ana nufaika na uwepo wetu hapa duniani?
Atakuwa anamaanisha labda sisi na viumbe wengine tunafugwa kama binadamu anavyofuga nguruwe! Swali lake halina majibu kwa ufupi manake hata iyo anayetufuga hatujawahi kumuona,sisi tupo tu tunategemeana wenyewe kwa wenyewe kwa manufaa yetu!

Tuwepo tusiwepo hakuna anayefaidi au kutofaidi!
 
Ukisema "nani ananufaika?" Unakuwa unafanya fallacy ya begging the question....unalazimisha ujibiwe unavyotaka... kwenye Hilo swali inabidi ueleze..kwa Nini kuwe na kiumbe na kwa Nini kifaidike ...ukiuliza nani unataka jibu liwe fulani . .na ukisema tunamfaidisha nani inamaanisha ushaconclude Kuna mtu na tunamfaidisha bila kutuonyesha ushahidi wowote wa Hilo ..ukishaelewa Hilo hamna dini itakayokusumbua..
 
Atheists na watu wanofanana na hao ni watu ambao ni low minded people most of them.

Ukiwa hauelewe mambo ya universe na cosmic power , divine power ,supernatural power , basi huwezi elewa haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…