nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.
Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.