Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana



Nyboma Mwandido
 
Mimi anaenitoa mate n huyo wa kushoto kwa mama alokuwa akimlinda toka yuko makamo,
 
Wewe ni msengerema kabisa, unajuwa Maxence Melo amekubali kwenda jela Keko kwa kuwakatalia Police kuwapa details za member wa hapa JF? Unalijuwa hilo?
 
Nipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.

Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili
Yaani mlinzi wa Rais ana Mshahara mkubwa na posho nyingi nzuri,ndo umfanye mke wa pili? Unadhani inawezekana?. Halafu hadi amefikia umri huo unahisi wewe ndo wa kwanza kumuona na kumtamani??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Siku moja jidai una kichaa alafu ukavamie msafara wa mama akiwa jukwaani.
Nishampa angalizo, asiwaone wanavitambi vile wale vijana wako vizuri kabisa kwenye upande wa uthibiti
 
Yaani mlinzi wa Rais ana Mshahara mkubwa na posho nyingi nzuri,ndo umfanye mke wa pili? Unadhani inawezekana?. Halafu hadi amefikia umri huo unahisi wewe ndo wa kwanza kumuona na kumtamani??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye posho hapo pazuri sana, kwa hiyo hawa wana special treatment tofouti na hawa wengine wanaozurula hovyo huku mtaani wakijulikana kama mataga na uvccm
 
Hii post ingekuwa na madhara moderator wangekwisha ifuta, unavyoiona ipo hadi muda huu juwa hakuna kitu kibaya.

Wewe endelea na mambo yako jukwaa la celebrity kusutana vidole na dada zako huku sio saizi yako mdogo wangu.
Sasa subiri nikuonenye hujui kama hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…