Huyu mlokole ni wa ajabu sana. Anafanya mambo ya ajabu! Msaidieni jamani

Swala la wizi hata lisinge kuwa kwe ye biblia au vitanu vya dini still lingejulikana kama ni jambo baya tu, haiitaji hata ahadi ya mbingu ndk uaache
 
Mimi sijawahi kumwona mlokole hai hapa JF.
 
Kuna mimi ambaye ukiona nakesha ujue mchana nimelala sana 😂😂
Mie nina usingizi kila muda hadi kuna muda najishangaa 🤣
huo usingizi nautamani Sana, ila hata niki upata bado routine yangu ita leta jeuri 😂.

Ko una kuwa ka zombie ni kuji wekelea tu, angalia usi pitilize kituo Cha kwenda home au job😁😂
 
Unahubiri kishetanishetani. Kuna wajinga wenzio wanaweza wasikuelewe. Hongera kwa walokole wazuinzi.
 
Hii hadithi za Abunuwasi waandikie watoto
 
Mithali 12:1
"Apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali achukiaye kukaripiwa ni mjinga."
Sasa hayo maandiko yako yanatofauti gani na methali za wahenga, au kisa hizo katunga Mzungu😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…