Haji Manara kazini.
We ambaye si tapeli umeifanyia nn Simba?
Shabiki anachohitaji ni furaha tu,klabu yako umewekeza nini?Bora tubaki na klabu yetu kuliko timu yetu kuhodhiwa na tapeli anayejiita mwekezaji
Shabiki anachohitaji ni furaha tu,klabu yako umewekeza nini?
Yeye analipia gharama zote za klabu kuanzia mishahara na mambo mengine,wewe umefanya nini?
Mkuu, pamoja na mambo yako mengine yote, naomba ukumbuke kuisaidia Simba kwa kununua jezi halisi, kulipa ada za uanachama na kuingia uwanjani wakati inacheza.Wewe ndio unahitaji furaha mfuate dewj mkaanzishe timu yenu
Sisi tunahitaji timu yetu hatumtaki huyu tapeli anayejiita mwekezaji aliyejimilikisha timu kwa kuvunja Sheria
Kama sheria imevunjwa si muende mahakamani,wapigaji waliozibiwa rizk zao baada ya timu kuwa na mfumo mzuri,waliozowea kula kupitia klabu ndio wenye kuleta chokochoko ili turudi kuleee tulikotoka.Wewe ndio unahitaji furaha mfuate dewj mkaanzishe timu yenu
Sisi tunahitaji timu yetu hatumtaki huyu tapeli anayejiita mwekezaji aliyejimilikisha timu kwa kuvunja Sheria
Eleza anaiibiaje simba?Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu
Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.
Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.
Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alisikika mtanzania kwa uchungu akiwa Mrusagamba anaitafuta Burundi kwa miguu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Simba yenu wewe na nani,umewekeza share ngapi?,kama hata uwezo wa kununua jezi huna ukiachiwa utaifanyia nini