Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

utah jazz

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,816
Reaction score
3,993
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
 
Ebu tuondoleeni uswahili wenu wa k.koo..tunataka mpira uendeshwee na wenye pesa mpira ni pesa sio ushabik wa kipuuzi puuz na wazee wa k.koo kuikalia team toka uhuru.

Simba leo inaenda had robo fainal nusu aingie semifinal..huko nyuma team ilikuwa ya kiswahl tu inaendeshwaa na waswahili..pelekeshen huko wachen wenye pesa waendeshe team.

Ingekuwa ni mimi yaan mo angepewaa hiyo yote aimilik tunataka team iende kimataifa zaid sio kuishia k.koo tu kwa waswahil
 
Wewe ndio unahitaji furaha mfuate dewj mkaanzishe timu yenu
Sisi tunahitaji timu yetu hatumtaki huyu tapeli anayejiita mwekezaji aliyejimilikisha timu kwa kuvunja Sheria
Shabiki anachohitaji ni furaha tu,klabu yako umewekeza nini?

Yeye analipia gharama zote za klabu kuanzia mishahara na mambo mengine,wewe umefanya nini?
 
Wewe ndio unahitaji furaha mfuate dewj mkaanzishe timu yenu
Sisi tunahitaji timu yetu hatumtaki huyu tapeli anayejiita mwekezaji aliyejimilikisha timu kwa kuvunja Sheria
Mkuu, pamoja na mambo yako mengine yote, naomba ukumbuke kuisaidia Simba kwa kununua jezi halisi, kulipa ada za uanachama na kuingia uwanjani wakati inacheza.

Tafadhali sana usiyasahau hayo.
 
Wewe ndio unahitaji furaha mfuate dewj mkaanzishe timu yenu
Sisi tunahitaji timu yetu hatumtaki huyu tapeli anayejiita mwekezaji aliyejimilikisha timu kwa kuvunja Sheria
Kama sheria imevunjwa si muende mahakamani,wapigaji waliozibiwa rizk zao baada ya timu kuwa na mfumo mzuri,waliozowea kula kupitia klabu ndio wenye kuleta chokochoko ili turudi kuleee tulikotoka.

Na nyie anzisheni timu yenu muiongoze mnavyotaka,Mo hatoki Simba na nyie makapuku kaendesheni Abajalo sio Simba hii
 
Huchangii hata maji ya wachezaji halafu unasema Mo atoke hebu kuwa serious basi au ww sio mwanachama wa Simba? Na unatusemea sisi ww kama nani?
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Eleza anaiibiaje simba?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nasiajabu hana hata kadi ya uwanachama wa SIMBA na pangine hajawahi hata kwenda uwanjani hata siku moja kuiangalia Timu anaye sema yao.

Hii ndio TANZANIA yetu na uhakika wa asilimia 80% hata hao viongozi waliopo kwenye hizo TIMU YANGA na SIMBA walio wengi hawana hata kadi za uwanachama wa timu au hawalipi kabisa toka wazichukue .
 
Back
Top Bottom