huu mchakato sio wa mwaka mmoja umachukua muda mrefu na sasa ndio upo ukingoni
Unaweza ukaniambia Mo ananufaika vipi na simba kwa sasa?
simba "imesavaivu" vizuri kabla ya Mo. Hiyo mishahara kabla ya Mo ilikua inalipwaje? Ila tutaona mwisho wa yote haya.Ndo leo leo tangu nimeingia jf, nimeona The boss umeandika utopolo..
Hivi mtu anatoa mabilioni analipa mishahara na kusajili wachezaji Bado mnaona utapeli.
Wewe uliwahi kununua hata jezi yasimba kuchangia klabu au kutoa mchango was hata 800,000 kwa wafanyakazi wa klabu ? Kabla ya kusema Mo tapeli think twice !
Je bila Mo mna power ya kusavaivu kwa muda upi. Wenye chokochoko Wengi unakuta huna hata kadi ya uanachama hapo.
#mchakato bado
Ndio ujue mswahili mswahili tu
Mwisho wa siku hata Mo akiweka hiyo pesa kwenye account italiwa na waswahili halafu mambo yote ya usajili, mishahara na kila kitu wataendelea kutegemea yeye.
Haya yeye Mo mwenye hisa 49% anatoa pesa ya usajili, mishahara na kajenga uwanja.
Tuambizane wenye hisa 51% wameshatoa nini ?
ujue mo extra ni mdhamini anae jitegemea kwenye simba sio kawekwa tuMo ananufaika vipi?
Hili ni swali la kuuliza?
Mo brand huoni inavyofaidika na Simba?
Kama sportspesa wanalipa kutangazwa na Simba ..
Mo brands inalipa ngapi?Mkataba ukoje?
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.
Wewe ndio Boya no 1.yaani ulitaka awekeze pesa zake alafu asipate faida yeyote.Mimi kama mshabiki na mpenzi wa Simba nasema yote sawa kikubwa kwetu ni burudani na tunaipata basi.Bro we ni Boya kweli, Simba ipo kwa miaka mingapi na imechukua ubingwa mara ngapi bila Mwamedi kuwepo. Mwamedi haisaidii Simba bali amekuja Simba ili afaidike, Kama ni hivyo Simba nayo inapaswa kufaidika aweke 20b alizoahidi aache ujanja ujanja. Mbona African Lion aliikimbia Kama hakuna anachopata Simba. Mwamedi anajhitaji zaidi Simba kuliko imavyomhitaji sema tu basi timu zenyewe zina watu viazi Kama wewe!
ujue mo extra ni mdhamini anae jitegemea kwenye simba sio kawekwa tu
Pesa analipwa simba na mo extraMbona unauliza maswali kama mtoto?
We ukiwa na dhahabu akija mtu ukampa asilimia 49 achimbe mgawane ..utauliz
Inayofaidika ni Mo extra peke yake?
Mkataba unasemaje?
Pesa analipwa nani?
Duh mpaka leo mchakato haujakamilika tu? Huko kusema mchakato haujakamilika ni kujitetea kwa watu wajanja wajanjaJamaa kaongea kipuuzi sana
Mo anawekaje hiyo 20b wakati mchakato bado haujakamilika?
Hapana mkuu ule ni mchakato mrefu sio sawa na kwenda sokoni kununua machungwa ila ndo upo ukingoniDuh mpaka leo mchakato haujakamilika tu? Huko kusema mchakato haujakamilika ni kujitetea kwa watu wajanja wajanja
Eheeee! Nilikuwa nasubiri comment Kama hii,mijitu kazi yao ni kubwabwaja tu,Mo anamiliki 49% za hisa ambazo ni sawa na 20b. Haya hizo 21b za 51% zinabaki wao wameweka? Kwa uelewa wangu mdogo najua kwamba Simba ni Kama biashara ya mtaji wa 40b, ambapo Mo anapotoa 20b na washirika wengine nao watoe pia hiyo 20b ili kukamilisha mtaji ili Sasa running costs zote za klabu zitoke kwenye mtaji huo,Sasa nyie mnaowanga mchana kweupe eti Mo hajatoa 20b,nyinyi mmetoa inayowahusu?Ndio ujue mswahili mswahili tu
Mwisho wa siku hata Mo akiweka hiyo pesa kwenye account italiwa na waswahili halafu mambo yote ya usajili, mishahara na kila kitu wataendelea kutegemea yeye.
Haya yeye Mo mwenye hisa 49% anatoa pesa ya usajili, mishahara na kajenga uwanja.
Tuambizane wenye hisa 51% wameshatoa nini ?
Ni hivi mkuu...Kuna watu tangu Simba ibadili mfumo kula yao imekua ngumu pale kilabuni..hivyo wanamuona Mo kama mwiba kwao...hakuna dili za kwenda chimbo kwa waganga...hakuna kuja na mchezaji wako..wanachofanya sasa ni kujaribu kuwaletea zengwe makocha...nayo inaonekana dili zinakua ngumu...ndo wanataka bl 20 wakati hawana cha kununua nazo ni kuleta zengwe tu ili kutest mitambo kama kuna tingishika.Mpira wa kibongo miyeyusho.
Timu hua hazijifunzi.
Zitapitia shida ile ile kila mwaka ila hamna kujifunza hata punje.
Walianza Yanga. Manji anaihitaji Yanga kuliko Yanga inavyomhitaji Manji.
Yakatokea ya kutokea hadi leo timu inasua sua.
Naon Simba wanajiandaa kufuata mkumbo. Kwamba Mo anaihitaji Simba kuliko Simba inavyomhitaji Mo? Au siyo?
Yaani hapa Bongo Yanga akizingua na kua omba omba msimu huu usishangae misimu miwili mbele Simba ikafuata mkondo huo huo.
Na hawajui kujitegemea na hawajawahi kua na Miami ya kujitegemea
Ndo leo leo tangu nimeingia jf, nimeona The boss umeandika utopolo..
Hivi mtu anatoa mabilioni analipa mishahara na kusajili wachezaji Bado mnaona utapeli.
Wewe uliwahi kununua hata jezi yasimba kuchangia klabu au kutoa mchango was hata 800,000 kwa wafanyakazi wa klabu ? Kabla ya kusema Mo tapeli think twice !
Je bila Mo mna power ya kusavaivu kwa muda upi. Wenye chokochoko Wengi unakuta huna hata kadi ya uanachama hapo.
#mchakato bado
Si ndo hapo sasaujue mo extra ni mdhamini anae jitegemea kwenye simba sio kawekwa tu
Nisome vizuri we kenge. Ninachokiona ni kenge kama wewe mnaodhani Mwamedi anaisaidia Simba wakati ni biashara Kama makubaliono ni kuweka 20b aweke. Mbona yeye ameanza kujipa sujui Mwenyekiti wa Bodi, anatangaza biashara zake kupitia Simba, Sasa kwanini anafanya ujanja ujanja, aweke fedha ziwe mali ya Simba na Simba wafanye mambo kwa kutumia fedha za Simba siyo zake, siyo kila siku anajidai fedha anatoa yeye.Wewe ndio Boya no 1.yaani ulitaka awekeze pesa zake alafu asipate faida yeyote.Mimi kama mshabiki na mpenzi wa Simba nasema yote sawa kikubwa kwetu ni burudani na tunaipata basi.