Mnaosema mkipiga Jackpot mnaanza nae sijui mtamnunulia BMW ndio mgonge, lol
Manzi anaonekana ana shida balaa laki yako tu +chakula+ vinywaji unakula usiku mzima,
Halafu wa hivyo hua sio wa kurudia, one night stand inatosha.
Huyu fetty asikutishe sana....mzuri ila sio hadi wakumfungulia uzi,,Skuiz naona anatrend,enz hzo ndo katoka kwao tanga kutwa hakauki Facebook [emoji2][emoji23],,hata ukichat nae utacheka.
Imebidi nikae kimya tu maana jamaa alivyoandika nikama anamjua sanaa[emoji3][emoji1787] umeanza sound haitwi Fetty umepigwa.
Imebidi nikae kimya tu maana jamaa alivyoandika nikama anamjua sanaa[emoji3]
Sanaaaaa, hajafika levels za mtu kuumiza kichwa jinsi ya kumpata wawahi mapemaaa
Hainiumi kitu bro ila kabla hujamuwazia BMW mpe kwanza pesa akafanye shopping aache kuvaa Malapa na Kandambili.Kwani mwenye shida akihongwa BMW wewe inakuuma nini? I thought ndo vizuri kumpa zaidi mwenye shida kuliko mwenye nacho?
Huyu anapaswa apewe nanii kabisa au basi.
Ni kweli kabisa haina ubishi, kuna mmoja nilikutana naye Babati mtoto mkali sana ana mzigo kama sega la asali nikamlia rada nikafanikiwa kufanya date, pumbafu kikaja na kibasha chake eti ananizuga kaka yake, akili zika icheza nikasepa zanguNilipokuwa huko Chuga nilisikia Vijana flani wakiwaponda eti Ni wazuri Ila Wana ubongo mdogo Sana,je Kuna ukweli wa hili mkuu?
Bro sitaki kuwa mnafiki... naongea kitu halisi[emoji3][emoji3][emoji3] tasnia ya udangaji mpunguzie ukali wa neno kidogo
KabisaSanaaaaa, hajafika levels za mtu kuumiza kichwa jinsi ya kumpata wawahi mapemaaa
Ha haaa kwamba wajisosomole mikuku halafu baadae uambiwe Kaka noma tutaonana keshoNi kweli kabisa haina ubishi, kuna mmoja nilikutana naye Babati mtoto mkali sana ana mzigo kama sega la asali nikamlia rada nikafanikiwa kufanya date, pumbafu kikaja na kibasha chake eti ananizuga kaka yake, akili zika icheza nikasepa zangu
Inakuuma nini na wewe ndiye mwenye akili?Huna akili
Achana na lile shimo mjomba ...Mtu una masters degree unawaza ujinga kama huu??
Daaah tuna safari ndefu sana
Hivi videmu mnavipa sifa ambazo havina ,na nimeelewa kwann wakati mwingine vinavimba vimba wakat vya kawaida tu.
Fikiria kikipitia huu uzi ,hata km Kuna mwamba amekipa ofa ya laki si kita refuse kwa kuona hiyo pesa sio hadhi yake.
Yaan kweli mwanaume unawaza umnunulie demu Kama huyu Bmw x5 kisa mbususu yake!
Hakika wanaume tunatofautiana Sana .hako kademu ni kazuri lakin sio kwa viwango hivyo, humu mitaan Kuna watoto wazur balaa zaidi ya huyo na wadau wanakula kiroho Safi Tena kwa dau dogo mno na ujanja ujanja wa kuchezaesha maneno ya hapa na pale na wanajua balaa sex yaan unapewa kitu roho unataka sema hawapo mitandaoni km huyu .
Huyu manzi ukishamla kwa kumpa 500k baada ya tendo unaweza jilaumu Sana na kujiona bonge moja la fala.
Alafu hivi vibint filter nazo zinafanya Kaz kutana nae uso kwa uso utakuta normal tu sio kwa viwango hivyo.
Narudia tena pita pita mitaan hasa changanyiken Kuna kuku wa kienyeji kuzidi huyo broiler.
Ah mzigua wee na shape lako unaona watu wanapaparika bure tuu hao wakati wee u a shape la maana🤣🤣🤣🤣Kabisa
Ningekua na kama za hao weeeeeAh mzigua wee na shape lako unaona watu wanapaparika bure tuu hao wakati wee u a shape la maana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]