safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mama angu weeeee...Wewe punguani. Hizo siyo shepu zao, shepu za nguo. Mwanamke mzuri hajianiki.
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Watu wana mashepu yao wenyewe na wanajianika laivu laivu.
Siku hizi kizuri kinachojiuza ni tabia tu.
Ila kibaya kinachojitembeza siku hizi ni maumbile ya mashepu manene manene.