Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?

Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale.

Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde.

Sasa mlimbwende ameniibukia hapa nyumbani, kusema kweli ni bonge la jimama, na nikimtizama machoni nazidi kushawishika zaidi; natamani muda uende ili sarakasi zianze.

Nimemwambia apike chakula ili tuweze kula anakataa, anasema sio kazi iliyomleta; anataka niagize mdudu kilo 3, ndizi za kukaanga na pombe kali.

Kutokana na jua la utosi kuwa kali, naona ananiongezea gharama tu; sasa mimi nataka nimfukuze.

Wakuu mnasemaje.
 
Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale.

Baada ya kutumia silaa zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde...​
Screenshot_20231003-220508_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom