Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #101
Tuma fungu la kumi nikufanyie maombezinipe mbinu
Ni mwana sayansi huyo, ana kipaji cha kwenda mwezini
maombezi ya ninTuma fungu la kumi nikufanyie maombezi
Nipo hapa najiuliza, aliyevumbua ziwa victoria anaitwa nani?Usinambie! Ulijuaje mkuu?
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, uje na chupa ya maji tufanye miujiza.maombezi ya nin
na hicho kipaji kimeanza lini🤣🤣
Nipo hapa najiuliza, aliyevumbua ziwa victoria anaitwa nani?
Nami namkubali sana, nikivuna mahindi yangu shambani nitamzawadia debe mbili.
😁😁😁 Labda sina vitu vyakeKwanini alikataa?
Equation x , ilikuwaje ukamkataa Khantwe?
Achana naye huyo, anataka atugombanishe😁😁😁 Labda sina vitu vyake
😁😁😁 Labda sina vitu vyake
Mkuu, uko chupa ya ngapi ya balimi?
Mkuu unataka ukopi,?Sidhani, au ulimwambiaje ndo akakimbia?
Usihofu, tupo uchumi wa kati.Mkuu balimi ndio bia zetu sisi "kaya masikini".
Mkuu unataka ukopi,?
Tumsubiri atupe majibuKama sio kelsea huyo