Nothing happened πππ wewe kila anayekupa unapokea?Hapana! Nashangaa jamaa kapata ngekewa, kakimbia. Najiuliza sana, what really happened.. π
Nothing happened πππ wewe kila anayekupa unapokea?
Alipigwa risasi ya tako kule Afghanistan.I see huyu demu Kraang kaathiliwa na mabomu ya huko Somalia. Ana matusi ya kufa
Huo uzuri kupindukia umeuona wapi au unazungumzia uzuri wa mwandikoAkiwa mzuri kupindukia kama wewe, lazima nipokee. Ni ngekewa hiyo. π
Huo uzuri kupindukia umeuona wapi au unazungumzia uzuri wa mwandiko
Wanasema kuwa uyaonemapenz hayajawah kuacha mtu salama. Alikufanyia nini mpka ana messup na ubongo wako kiasi hicho.
πππ Nacheka kama mazuri walahHapana sio mwandiko. Mimi nilishauona, sasa najiuliza ndugu yangu Equation x, alitazama vipi mpaka akakimbia. π
Bwana asema, pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.Hapana sio mwandiko. Mimi nilishauona, sasa najiuliza ndugu yangu Equation x, alitazama vipi mpaka akakimbia. π
Hayaee kamdinyo umefikiwa hukuSijui umenifanya nini:-
Nikilala namuota yeye tu. Nikiamka namuwaza yeye tu. Nikienda kuoga natamani nioge naye tu. Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni. Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane. Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege. Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
Umesema jina linaanza na KKafanyaje tena huyu?
Ebu weka kapicha kake tumuoneUmesema jina linaanza na K
Bwana asema, pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.
Aya, pendaneniSi ndio. π
πππ Nacheka kama mazuri walah
ππUsicheke, ni ngekewa jamaa alipata.
Mahari ilikuwa kubwa sanaππ
Kwa sababu mimi pia ni mkubwa πMahari ilikuwa kubwa sana
Awamu ya saba ikifika tutafanya jambo kubwa sanaKwa sababu mimi pia ni mkubwa π