Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

Swala siyo uvunjivu wa katiba je ni kweli hakuna mtanzani mwingine Mwenye akili na umri unaomruhusu unang'ang'ania vibabu?
Sasa vijana wenyewe ndiyo Hawa ambao akili zimeishia kwenye betting, udangaji, ulevi, ulawiti, n.k. Kwann warirudishwe mababu?

Ndiyo maana unaona ccm wamewarudisha akina Kinana, Mabeyo kateuliwa kuwa nani nani wa TANAPA, mwalimu wa Samia kateuliwa sijui kuwa nani?

Vijana hawajielewi. Katiba inabakwa wanatizama tu!!!! Ashhhhh!!!
 
In summary,kifungu cha pili kinazuia mtu kukaa madarakani zaidi ya mihula miwili continuously. Ila hakimzuii kurudi tena na kugombea.

Huo ndio uelewa wangu, naomba ufafanuzi wako
It's a ban for life ndugu (kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizoundwa toka kifungu hicho)
 
kwamba atafika 190?.....acha kuvuta sigara unayovuta
Mkuu trust me! Hata kama hatafikisha hapo lkn atasogea Sana. Hebu muangalie jinsi anavuoonekana hv sasa? Akienda usukumani wasikomjua anaweza kuozeshwa binti wa maiaka 19.
 
It's a ban for life ndugu (kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizoundwa toka kifungu hicho)
Sina uhakika na tafsiri sahihi ya hicho kifungu. Nitaendelea kuulizia zaidi.

Let assume ni ban for life, wewe kama msomi how can u suggest katiba ivunjwe badala ya kuhakikisha katiba inasimamiwa?
 
Watumishi wauma walipandishwa madaraka, vyeo na masurufu yao kuwa juu.

Vyama vya upinzani walifanya mikutano yao ya hadhara nchi nzima

Wafanyabiashara walineemeka kweli kweli
Wakulima ndiyo usiseme.

Machinga we acha tu

Nani kama Kikwete???
Ngoja siku akifa ndio utajua watanzania wana hisia gani juu yake
 
kwan unahis rais wa nchi ni nani kwa sasa apa tanzania. Uyu bibi geresha buda, network inatokea msoga
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.

Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.

Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-
1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.

2. Uwepo wa covid-19 bungeni

3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.

4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.

5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)

Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.
Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.
Hujui kuwa alirudi mahakamani tangu march mwaka jana na ndio maana ufisadi umeongezeka kwa kasi ya 5G
 
wewe kama msomi how can u suggest katiba ivunjwe badala ya kuhakikisha katiba inasimamiwa?
Nimekasirishwa na uvunjwaji wa katiba unaoendelea lkn inaonesha tumeridhika na tunafurahia.

Nilitegemea kuwe na maandamano kila itajwapo kesi ya covid-19. Lkn kimya tu.
 
Mkuu

Acheni kuwa churia watu!

2025 tu Mbali sana sembuse 2030!!?

Nadhani tushughulike na yaliyopo hayo ya mbele ni ya Mungu!

Kuna video inasambaa ya justice 2023 Mei hatujui ni justice ya nini!!

ACHA wakati uamua hatma!

MUNGU ibariki Tanzania nchi yetu!
 
Back
Top Bottom