- Thread starter
- #61
Yuko Msoga mkuu. Si alistaafu hata kabla ya JPM??Nani kakuambia kuwa hayuko ikulu saa hii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko Msoga mkuu. Si alistaafu hata kabla ya JPM??Nani kakuambia kuwa hayuko ikulu saa hii??
Sa si umualike hapo sebuleni kwako awatawale wewe na wanaoHata kama ana 80 bado anafaa.
Ikulu hawaendi kubebe mawe
[emoji38][emoji38][emoji38]
Lete Maneno...................
Msome ndani ya mistariSwala siyo uvunjivu wa katiba je ni kweli hakuna mtanzani mwingine Mwenye akili na umri unaomruhusu unang'ang'ania vibabu?
Hakikisha mnaongea pia na Mwenyezi Mungu. Mipango yetu wanadamu ina kiasi na kuna sehemu huwa ni butu kabisa.Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.
Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.
Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-
1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.
2. Uwepo wa covid-19 bungeni
3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.
4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.
5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)
Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.
Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.
Watu wema wanaishi sanaHakikisha mnaongea pia na Mwenyezi Mungu. Mipango yetu wanadamu ina kiasi na kuna sehemu huwa ni butu kabisa.
Nchi hii tuiangalie kwa jicho la staha!!!!!
Acha kuwaza mabayaHakikisha mnaongea pia na Mwenyezi Mungu. Mipango yetu wanadamu ina kiasi na kuna sehemu huwa ni butu kabisa.
Nchi hii tuiangalie kwa jicho la staha!!!!!
Najisikia aibu sana kuwa jukwaa moja na kilaza wa aina hii
Microfone ipo msoga, spika ipo nyumba pendwa.Yuko Msoga mkuu. Si alistaafu hata kabla ya JPM??
KWAMBA!!Sa si umualike hapo sebuleni kwako awatawale wewe na wanao
Unamaanisha nn kusema mikataba isiyo na kichwa wala miguu?Achana na mikatiba isiyo na kichwa wala miguu twende na JK
Karahisisha sana 😅😅😂kaharibu
Mikatiba sio mikatabaUnamaanisha nn kusema mikataba isiyo na kichwa wala miguu?
kuna document/kitabu kidogo hivi kinaitwa katiba....bila shaka haujaisoma.Hata kama ana 80 bado anafaa.
Ikulu hawaendi kubebe mawe
Grand-ultra-megaChawa pro-giga-max
BiglyGrand-ultra-mega
Auto correction ndio imesuggest hivyo. 😅😅Mikatiba sio mikataba
Kama ile ya UgandaAuto correction ndio imesuggest hivyo. 😅😅
Anyway mikatiba isiyo na kichwa wala miguu ndio ipi?