Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

Hakikisha mnaongea pia na Mwenyezi Mungu. Mipango yetu wanadamu ina kiasi na kuna sehemu huwa ni butu kabisa.
Nchi hii tuiangalie kwa jicho la staha!!!!!
 
Hakikisha mnaongea pia na Mwenyezi Mungu. Mipango yetu wanadamu ina kiasi na kuna sehemu huwa ni butu kabisa.
Nchi hii tuiangalie kwa jicho la staha!!!!!
Watu wema wanaishi sana
 
Watu wote wanaojisikia aibu kuwa jukwaa moja na kilaza kama wewe wakiamua kuondoka mtabaki saba tu.
Najisikia aibu sana kuwa jukwaa moja na kilaza wa aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…