Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

Tulishangilia kwa yule dikteta mpk polisi wakaanza kuwakamata watu na sukuma gang wakaandaa walevi na wavuta bangi waigize wamezimia, lkn wakajisahau wakazimia huku wameshikilia mifuko ya plastiki
🤣🤣
 
Hakuna sehemu katiba inasema rais akimaliza muda wake anaweza kuja kugombea tena
 
JK ana mengi mema na mabaya pia. Anapoonekana sana awamu hii maana yake amepewa uhuru huo na SSH akiwa kama mwanasiasa mwandamizi mwenye uwezo wa kutumwa mahali na akaenda kutekeleza maagizo.

Ni suala jema kwa nchi yenye amani kuwa na wastaafu wanaochangia mawazo katika uendeshaji wa serikali, JK sio wa kumuonea wivu kwa nafasi yake ya uongozi ni wa kukubaliana tu na uwepo wake kama mstaafu mwenye faida kwa taifa.

Zipo nchi tena majirani zetu rais aliyepo ikulu hawezi kumtuma yule mstaafu, tumshukuru Mungu kwa hili.

Zipo nchi tena majirani zetu rais anapohutubia bungeni kule katika jukwaa la wageni huwa hakuna mstaafu hata mmoja, sijui kama tunatambua huu utofauti tulionao kwa kulinganisha na wanaotuzunguka.
 
Hujitambui justice is coming whether you like it or not.
 
Poa
 
This country will be back on the hands of Jesus.Hao mafisadi kina bt watasambaratishwa.hakuna watu walioharibu hii nchi kama hao Wa msoga.wameharibu Kwa ufisad.but this country belongs to God and soon God will take his country back.
 
hana ajabu lolote alilofanya kwa miaka yake 10 ya awamu ya nne sana sana aliliingiza Taifa na Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwenye shida.

hana nguvu wala ujana wowote msimdanganye kazeeka akae alee wajukuu.
 
Nenda Burundi
 
Kwa hiyo ivunjwe Katiba ili iweje?
Ndio maana yake.
Useless kabisa hii

.
Mkono kule Kichwa nyumani. tumbo mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…