huu ndio ujinga wa hali ya juuLeo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?
Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa kuokota?
Yaani TV ya taifa kabisa? Ingekua kama Azam au Wasafi angalau isingekua na shida.
Mwamba sana jamaa, namkubali knoma.Nazareth Upete au?
Ana maneno mengi mpaka anaboa. Mbona wenzake wanatangaza poa tu.Mwamba sana jamaa, namkubali knoma.
Mpira ni burudani lkn naona watu mnataka atangaze kama anahubiri Biblia au Quran
Tumekula mkuu, ila TBC1 wanatuletea njaa tu saizi yaani limefungwa goli jamaa anatiririka kiarabu na kushusha dua mwanzo mwisho. Mwanzoni wakati mechi inaanza sikujali nikajua anachomekea tuPunguzeni hasira wakuu, kwanza mmekula chakula cha usiku.?
Jamaa anajua ..SEMA midadi inamzidi.Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?
Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa kuokota?
Yaani TV ya taifa kabisa? Ingekua kama Azam au Wasafi angalau isingekua na shida.
Tatizo lugha,why atumie kiarabu asitumie hata kiingereza basi kama kiswahili ni tatizo kwakeKama hufurahii utangazaji wa jamaa hamna utakayempenda, kila mtu na machaguo yake ila jamaa yupo vzr.
Afcon watangazi wote wa kiswahili jamaa ndio best kuacha ushabiki pembeni.