Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

Daah, wazee tupunguze chuki kwa kijana..,binafsi sina shida na hilo na kiukweli nikiri sijawahi kuona mtangazaji katika umri wake akawa anajua kutangaza na kuwa na wingi wa maneno kama yake.

Hongera sana Nazareth Upete, unajua sana mzee!
 
Angeongea kizungu mngeona jamaa kasoma sana UNAONGEA kiingireza.!!! Watanzania ni watu wakuwashikiwa akili sana
 
Daah, wazee tupunguze chuki kwa kijana..,binafsi sina shida na hilo na kiukweli nikiri sijawahi kuona mtangazaji katika umri wake akawa anajua kutangaza na kuwa na wingi wa maneno kama yake.

Hongera sana Nazareth Upete, unajua sana mzee!
hajui anapiga kelele tu, kama uliangalia mechi ya jana ilipoisha tu akaanza kuongea utumbo fujo fujo kelelele ovyoo
 
Soma kwa makini ulichoandika kisha lia kwa muda uliopoteza shule.
Ningeliaaa😂😂😂sema hakuna muda niliopoteza coz shule nazionaga tu nikipita nje sijawahi kusoma...😂😂😂
 
Kwani Kiingereza ni lugha yetu mkuu? Mbona kuna sehemu ulisema bora angeongea kingereza?
Kingereza ni lugha rasmi nchini Tanzania hata bungeni inatumika, mahakamani , mashuleni, kwenye vyuoo na hata nyaraka nyingi za serikali ziko kwa hiyo lugha hivyo sio noma kutumia lugha ya kingereza kwenye vyombo vya habari.
 
Ndio maana unaambiwa acha kuchukulia kila kitu serious, Upete anaweka mbwembwe tu, maneno anayotamka Wala hayana maana yoyote, ni Kama mtu anayenena kwa lugha.
Kwanza hata kiarabu upete hajui.
Hizi pigo alianza tangu kipindi Cha world cup coz ilikuwa katika ardhi ya waarabu. Baada ya kuona watu wanazikubali ndo kaamua kutumia Kama identity yake.
Tbc walipofeli ni kuweka chaneli zote Tbc1 na Tbc2 matangazo ya kiswahili. Tbc1 wangeacha kiswahili na Tbc2 wangeacha Kiingereza kama wanavyoyapokea matangazo toka nje kama walivyokuwa wanafanya TVE. Hii inakuwa inatoa chaguo Kwa mtazamaji. Ambaye hapendi matangazo ya mpira ya kiswahili angeangalia Tbc2 na asiyeoenda Kiingereza angebaki Tbc1. Naamini Kuna shida ya kiuongozi mahali.
 
basi mm hapo Azam tv ndio nililala kabisa niliamshwa magoli yalipoingia na pale waliposifia maua lkn ningejua Upwete yupo TBC ningehamia huko nisingelala
Mimi sikusema hajui,nilisema lugha anayotumia sio official na baadhi hatuijui, inamaana ni ruksa hata kutangaza kinyakyusa,kisukuma kikurya etc?
 
Angeongea kizayuni saa hii uzi umechafuka. Kiarabu ni lugha ya Allah.
We nae elewa mada basi, hatuwakatalii hicho kiarabu chenu ongeeni mkiwa wenyewe sababu mnaelewana,sio mtuletee kwenye matangazo na sio lugha official. Akili yako ndogo inawaza udini tu
 
Ndio maana unaambiwa acha kuchukulia kila kitu serious, Upete anaweka mbwembwe tu, maneno anayotamka Wala hayana maana yoyote, ni Kama mtu anayenena kwa lugha.
Kwanza hata kiarabu upete hajui.
Hizi pigo alianza tangu kipindi Cha world cup coz ilikuwa katika ardhi ya waarabu. Baada ya kuona watu wanazikubali ndo kaamua kutumia Kama identity yake.
Jinga kabisa kwanza anadanganya sana hata takwimubza wachezaji
 
We nae elewa mada basi, hatuwakatalii hicho kiarabu chenu ongeeni mkiwa wenyewe sababu mnaelewana,sio mtuletee kwenye matangazo na sio lugha official. Akili yako ndogo inawaza udini tu
Ww ni mpumbavu na uliye jaa chuki za kichawi tu.

Hicho kuswahili unacho kiongea asilimia 60 ya maneno yake yanatokana na lugha ya kiarabu.
 
Kingereza ni lugha rasmi nchini Tanzania hata bungeni inatumika, mahakamani , mashuleni, kwenye vyuoo na hata nyaraka nyingi za serikali ziko kwa hiyo lugha hivyo sio noma kutumia lugha ya kingereza kwenye vyombo vya habari.
Acha kutumia kiswahili maana asilimia 60 ya maneno yake yanatokana na lugha ya kiarabu.
 
Evans ujanja mwingi kumbe umemstukia anarukia rukia data
Yaani huwa anarukaruka tuu... maneno meeengi😆😆...
Kuna gemu walimwitaga Erasto Nyoni ndo mchambuzi wa mechi...

Erasto mwenyewe hata maneno ya kuzungumza hana...

Evans akawa anazidi kuchochea...

Yaani😆😆😆
 
Back
Top Bottom