Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Dogo anajua sana sana anajitahidi
Hacha chuki mdogo wangu
Hacha chuki mdogo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapuuziPunguzeni hasira wakuu, kwanza mmekula chakula cha usiku.?
Tatizo lugha,why atumie kiarabu asitumie hata kiingereza basi kama kiswahili ni tatizo kwake
We jamaa fix kweli.Tumekula mkuu, ila TBC1 wanatuletea njaa tu saizi yaani limefungwa goli jamaa anatiririka kiarabu na kushusha dua mwanzo mwisho. Mwanzoni wakati mechi inaanza sikujali nikajua anachomekea tu
Kweli kabisa amejitahidi Sana kunogesha, tangu world cup sisi wapenda mseleleko wa TBC tunaye na tulishamzoea kwa staili yake. Tatizo wenzetu wamezoea DSTV huko.Kama hufurahii utangazaji wa jamaa hamna utakayempenda, kila mtu na machaguo yake ila jamaa yupo vzr.
Afcon watangazi wote wa kiswahili jamaa ndio best kuacha ushabiki pembeni.
Ndio maana unaambiwa acha kuchukulia kila kitu serious, Upete anaweka mbwembwe tu, maneno anayotamka Wala hayana maana yoyote, ni Kama mtu anayenena kwa lugha.Hoja ni lugha mkuu elewa mada basi. Sijakataa kuwa kuna watu wanaelewa kiarabu,ila mimi nisieelewa kwanini nisiseme? Kiarabu ni lugha yetu? TV ya taifa unaruhusiwa kuongea lugha yoyote unayoipenda kisa tu unaijua?
Ni muongo muongo anabahatisha sana data na kuchungulia WikipediaNilizima Tv pale aliposema Serge Aurier ni mchezaji wa Luton Town
ina maana hajui a b c za kifaransa? Mataifa yanayongea kifaransa katika michuano hiyo yalikuwa mengi ikiwemo nchi mwenyejiNdio maana unaambiwa acha kuchukulia kila kitu serious, Upete anaweka mbwembwe tu, maneno anayotamka Wala hayana maana yoyote, ni Kama mtu anayenena kwa lugha.
Kwanza hata kiarabu upete hajui.
Hizi pigo alianza tangu kipindi Cha world cup coz ilikuwa katika ardhi ya waarabu. Baada ya kuona watu wanazikubali ndo kaamua kutumia Kama identity yake.
Kingereza tunakisoma shule pia ni lugha official TanzaniaKwani Kiingereza ni lugha yetu mkuu? Mbona kuna sehemu ulisema bora angeongea kingereza?
Hata wa azam ni wale wale ushamba uliopitiliza. Ndio hao huanza na asslamalekuLeo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?
Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa kuokota?
Yaani TV ya taifa kabisa? Ingekua kama Azam au Wasafi angalau isingekua na shida.
Ni ujinga tu, sijawahi kusikia waarabu wakitangaza Kiswahili wala kingeleza au kama wanataka kutangaza kiarabu wawekwe option ya lugha mtazamaji achague anataka kusikiliza lugha ipiHuyo sijuwi upete ametokea wapi aina yake ya utangazaji inaboa sana,Mimi nilikuwa siwezi kuangalia Afcon kupitia hiyo channel,bora niangalie hata kupitia channel za nje.
Anaongea maneno mengi alafu ya hovyo hovyo na kutaja maneno ya kiarabu,ndiyo maana bongo hatuna marefa,watangazaji wala wachambuzi.Ajirekibishe
huyu jamaa nimempenda sana, ingawa si mwarabu wala sio wa Dini hiyo, lkn anachangamsha, ningeshauri achaneni na station za bure km TBC tafuteni Channel za kulipia ambapo unachagua lugha mwenyewe, mm jana fainali nilikuwa Azam kiswahili mpaka nikalala mtangazaji kapoa mpaka muwe zaidi ya wawili muweke na ubishani, lkn Upwete wa TBC nisingelala kwa vionjo vyake (p/se TBC msimtoe tutahamia huko wengine)Kabisa,huwa havinaga hata professionalism
basi mm hapo Azam tv ndio nililala kabisa niliamshwa magoli yalipoingia na pale waliposifia maua lkn ningejua Upwete yupo TBC ningehamia huko nisingelalaWale Mabwana kwenye 'Kioo' wakionekana Wanawake warembo wataacha chochote wanachoongelea utasikia,
"Na hayo ni Maua, naam' Uhuni mtupu.