masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na Mimi nikamkarimu.
Tukaulizana maswali mawili matatu kuhusiana na bidhaa atakazo ghafla tukazama kwenye story kuhusu biashara yaani from 0-100
Fasta nimekua nikimzoea .
Sasa sijui nini kilipelekea tukaanza story za biashara na watu kuzitilia nuksi...yaani kukuwangia.
Kidogo akasema dada Mimi Nina watu kichwani..tangu nimekuja hapa nasisimka...alivyosema vile na Mimi nimeanza kusisimka hatariiii....
Yaani kama kanichaji hivi ..
Ndo akasema nimuhudumie aende maana anajisikia hovyo.
Akaniambia serve namba yangu j3 nitakuletea dawa.
Akasema yeye alikua awe mganga ila hataki hao watu ndo wanamlazimisha kwa kua baba yake alikua mganga.
Sasa nikaservw namba nikamtext wasap...nasubuliri jibu..
Wakati akiwa pale dukani nilikua nasisimka kama yeye..yaani yeye mpaka vipele vimemsimama...
Alivyoondoka TU nikarudi kawaida navuta hisia nisismke wapi wala sisisimki tena....
Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje ila Kwa hali niliyokua nasisimka akisema nasisimka na Mimi nahisi yaani dah ila sikumwambia Kwa muda ule kwamba na Mimi nahisi hivi..