Huyu mteja kaniacha na maswali lukuki

Huyu mteja kaniacha na maswali lukuki

Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na Mimi nikamkarimu.
Tukaulizana maswali mawili matatu kuhusiana na bidhaa atakazo ghafla tukazama kwenye story kuhusu biashara yaani from 0-100
Fasta nimekua nikimzoea .
Sasa sijui nini kilipelekea tukaanza story za biashara na watu kuzitilia nuksi...yaani kukuwangia.
Kidogo akasema dada Mimi Nina watu kichwani..tangu nimekuja hapa nasisimka...alivyosema vile na Mimi nimeanza kusisimka hatariiii....
Yaani kama kanichaji hivi ..
Ndo akasema nimuhudumie aende maana anajisikia hovyo.
Akaniambia serve namba yangu j3 nitakuletea dawa.
Akasema yeye alikua awe mganga ila hataki hao watu ndo wanamlazimisha kwa kua baba yake alikua mganga.
Sasa nikaservw namba nikamtext wasap...nasubuliri jibu..
Wakati akiwa pale dukani nilikua nasisimka kama yeye..yaani yeye mpaka vipele vimemsimama...
Alivyoondoka TU nikarudi kawaida navuta hisia nisismke wapi wala sisisimki tena....

Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje ila Kwa hali niliyokua nasisimka akisema nasisimka na Mimi nahisi yaani dah ila sikumwambia Kwa muda ule kwamba na Mimi nahisi hivi..
Acha kuamini ushirikina ingawa u mshirika
 
Utalizwa vibayaaaa,
Utakuja hapa kulia,
Hao washenzi wameshawafilisi wafanyabiashara kibao
 
Ishu ipo hivi atarudi tena atakupa dawa udekie na kumwagia hapo ofisini kwako alfajiri, hiyo dawa ni aidha mzizi mdogo au ya unga ila ni ndogo, kukipambazuka watakuja wateja wengi mnoooo, wateja wataendelea kua wengi kwa siku 3 hadi 5 baadae watakata kwa maana utabaki na wateja wako wale wale wa siku zote ila hutojua wewe utahisi ni wateja ndio wamepungua,

Utamcheki na kumwambia kua wateja wamepungua atakwambia alikupa dawa kidogo ili ujaribu tu maana ilikua yake so akakukatia/kukuchotea, atakwambia yeye alipewa na mganga/jamaa yake yupo Pemba/Tanga/Kigoma/Kongo/Zambia kati ya sehemu hizo,

Atakwambia dawa nzima inauzwa ghali sana hapo atakutajia dau kulingana na aina ya biashara yako na kipato chako, anaweza kusema ml 2/5/10,
Wewe utaingiwa tamaa utaona sio shida kutoa milion tajwa wakati una uhakika wa kupata zaidi tena kwa muda mfupi, atakuunganisha na mtaalam au atakwambia na yeye anatarajia kuagiza so atakuletea kisha uumpe pesa yake,

Siku ya siku atakuletea bonge la mti atakwambia dawa yetu ndio hiyo piga kazi mama, utampa pesa yake, utakaa kusubiri wateja weeh holaa, utampigia mara ya kwanza atakwambia kua na subira, mara ya pili atakwambia amesafiri na hutompata hewani tena.

Kama ulikopa hiyo pesa itabidi uilipe kama uliitoa kwenye biashara itabidi utafute ujazie.
 
Namshukuru nimeleta hapa...sitaki hata kumuona
 
Trust me yeye sio WA kwanza kunipa hizo stori...
Na yeye kati ya wateja wangu wakubwa kanunua kawaida sana..
Mimi concern yangu japo mnamuita tapeli...ila Ile hali ya kusisimka yaani kwake nimeiyona maana vipelee vimemuota na Mimi nilikua nahisi hivyo
Vipele ulivionaje?
Maana hao hujistiri......
Huoni kama alikuachia makusudi uone vipele vya msisimko?

Ni kwanza mmepiga story leo, Ushakuwa rafiki yake wa karibu kwamba akupe na dawa bureee? Kama sio bure huoni hiyo ni mbinu ya Biashara yake ya dawa?

Kama kipato unapata, huhisi kuwa hiyo ni njia ya majirani zako kukupoteza kwenye ramani?
 
Sitaki hata kumuona tena...sauti za wengi ni sauti za Mungu
 
wanawake mko hivyo, wepesi wa hsia , kudanganywa , kugilibiwa etc etc. Hukuona jana, Kimaro kurudi Kijitonyama wamama wamelia kama wamewekwa betri!

Nimecheka sana eti kama wanewekewa betri,[emoji1787]
 
Kuwa makini au jichanganye ulizwe. Kama unahisi hapo unavhezewa jaribu kwend kwa mtaalm mwingiye sie yeye. Na huyo mtaalam usimwambie habari za hapo ofisini kwako nae umsikie. Other endelea kuwa makindi unaandaliwa mazingira ya kupigwa.
 
Trust me yeye sio WA kwanza kunipa hizo stori...
Na yeye kati ya wateja wangu wakubwa kanunua kawaida sana..
Mimi concern yangu japo mnamuita tapeli...ila Ile hali ya kusisimka yaani kwake nimeiyona maana vipelee vimemuota na Mimi nilikua nahisi hivyo
Umeshamuamini wewe, sasa ngoja akupige tukio. Wewe kusisimka wakati yeye yupo, hauoni kama yeye ndio tatizo?
 
  • Nikupe tu ushuhuda, miaka 12 iliyopita nilimtuma mke wangu kwenda mkoa x kununua shamba, huku akiwa na kiasi cha cash mkononi.​
  • Alipofika kule alichukua lodge, akalipia na baadaye akaenda kukagua shamba na akanipa taarifa za kimuonekano.​
  • Ile anarudi lodge akakutana na mkongo ambaye alijitambulisha ni mganga na yeye amefikia kwenye hiyo lodge, na yupo kule kwa ajili ya kuuguza watu​
  • mbaya zaidi, yule mkongo akawa anamwambia mke wangu abc za maisha yetu na ndugu, na ni kweli alikuwa anasema ukweli.​
  • Akamshawihi kuwa atampa dawa ili changamoto zilizopo ziishe.​
  • Baada ya wife kunijulisha kwa njia ya simu,nilipata mashaka na kuwasiliana na ndugu zangu pamoja na wakwe zangu​
  • Baada ya dakika 20 nilipata majibu,kuwa yule mtu si mzuri ameshamtamani mke wangu, na anataka aende naye nairobi, na hapo alipo kiimani ameshabadilishwa bila yeye kujijua​
  • Niliambiwa anatakiwa aondoke huko aliko bila kuchelewesha muda​
  • Kilichofanyika, muda huo huo ilibidi nimuambie aanze safari iwe kwa kukodi teksi mradi afike eneo fulani; kwa hiyo ile hela ya shamba ilitumika kwa nauli.​
  • Baada ya kufika kwa ndugu zake na kupelekwa kwa wazee, kuna dawa alifukiziwa na alizimia kama nusu saa, ikiwa na maana ule uchafu aliopewa unatakiwa urudi ulikotoka.​
  • Baada ya kuzinduka, mkongo alimpigia simu na kumuuliza umenifanyia nini.​
  • Wazee wakasema block hiyo namba na iwe fundisho kwake.​

Nachotaka kusema, usipokee kitu, ikiwezekana fanya maombezi utoe huo uchafu aliokutumia.​
Mkuu niunganishe na wakwe zako wanipe dawa
 
Sitaki hata kumuona tena...sauti za wengi ni sauti za Mungu
Mwambie akuletee dawa. Halafu mdanyanye umeshaitumia (ila usiitumie). Atawatuma hao wateja wake kwa hizo siku 5. Wafaidi hao wateja wake halafu ukifika sasa muda wa kununua dawa nyingi mpige kiswahili. Hii inaitwa tapeli katapeliwa
 
Back
Top Bottom