Huyu mteja kaniacha na maswali lukuki

Huyu mteja kaniacha na maswali lukuki

Kanitext hapa kwamba kafika ...nablue tick afubnamuignore alafu nitamblok...
Sasa akija dukani sijui nitamtizamaje
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Kama biashara zako zinaenda siku nyingine wafumha hesabu juu siku nyingine kawaida, pesa haipotei huyu usikubali akuletee mauza uza yake. Hapo itakuwa mwanzo wa mabalaa
 
Namshukuru nimepost hapa...hakika mmenipa dondoo muhimu..
Tatizo nature ya biashara yangu ni tooo interective na wateja duuuh
 
Naamini nitakabiliana na hatari yoyoye.
Ila kama sio tapeli ni wazi nimwahampoteza huyu mteja
 
Mikwara hiyo labda kakukuta ww ndo mwenye upako
Sipo vizuri kwenye maombi ila Mungu huyu namuona sana maishani mwangi yaani nimemshuhudia live katika maisha yangu...so Huwa nasaligi sana usiku hata lisaaa
 
Achana naye huyo usje beba madude ambayo huyafahamu.
 
Najua mpenzi......mambo ya kishetani hii stir hata aiwez mpigianmume wangu maana atanishangaa....namshuhudia sana Mungu kwenye maisha yangu...siwezi hata wazazi huo upande mwingine...
Ila Sasa mtu anakumanipulate vip mpaka unasiskmka?
Walahi ni next level
Yap usimpigie simu kabisa, na ukitaka kujua ni tapeli atarudi tena kujifanya ananunua bidhaa alafu atakuuliza why hujampigia simu 😂
 
Achana naye huyo usje beba madude ambayo huyafahamu.
Ana asili ya arabuni...mumewe na muarabu pure...maana nilikua nampa ushauri namba ya kufanya kazi yake kulingana na vifaa anavyochukua kwangu akasema mume wake anamsaidiaga watoto anavyokuaga anaefanya hizo shuhuli..
Nikamuuliza kabila Gani akasema muarabu. Eeeee nga koochokaaa,sema nini nimezidi ukarimu mno Kwa wateja.
Ila ndo Nina wawini hapo maana wanakuja na kusema jinsi wakienda maduka mengine ambavyo hawasikilizwi.
Sasa sijui nifanyaje
 
Endelea kuwa amkarimu ila uishie kwenye biashara usiruhusu watu wajikute mnajuana sana.
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Kama biashara zako zinaenda siku nyingine wafumha hesabu juu siku nyingine kawaida, pesa haipotei huyu usikubali akuletee mauza uza yake. Hapo itakuwa mwanzo wa mabalaa
Ni kweli na hakika
 
Back
Top Bottom