Sema mwanangu una roho nzuri ukampa na buku 5 ya nauli. Mimi kuna mmoja nilimwita geto akasema hana nauli nikamtumia mpesa ile kapata tu muamala akaanza visingizio akanitumia sms wazazi wake ndo wamerudi kwaiyo hawezi kutoka. Mimi nikarudisha muhamala wangu then nikamjibu poa basi tufanye siku nyingine., alinipolomoshea makasiliko kibao