Huyu mtu ni nani hasa katika siasa za Tanzania?

Huyu mtu ni nani hasa katika siasa za Tanzania?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
mwanaspoti_tz~p~Cirdp_cKBd3~1.jpg


Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake?

Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa!

Ni nani huyu mtu kwenye siasa za Tanzania?!

Ana nguvu gani mtu huyu kwenye siasa zetu hapa Tanzania?!
 
Hana lolote huyo ni bwege tu hana lolote zaidi ya anatafuta sifa tu.
 
He is nobody believe me, attention seeker tu.

Angekuwa mjanja asingeenda kulia nyumbani kwa Karia.
 
Kwani nyie mnamfahamu vipi!?
Usijekuta hata hamumfahamu ila mnadhani mnamfahamu😃😃😃
Binafsi namfahamu kama mpiga kelele wa Yanga lakini anavyositiriwa na Mamlaka unahisi kabisa si mpiga kelele na huenda ni Monitor 😆
 
Watozonia wanapenda ujinga, ukiwa mjinga watakupenda na kukupandisha hadhi
 
Back
Top Bottom