TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Kwani kuna ajabu mtu kualikwa bungeni!?? Hata wewe kama unamshkaji mbunge mpigie hata simu leo mwambie akualike na wewe utakaa hapo kama yeye..By the way Manara alikuwa Mwenezi wilaya ya Ilala hadi hapo ni Cv kubwa tu inayomfanga deserve kuwa hapo na kutambulishwaBinafsi namfahamu kama mpiga kelele wa Yanga lakini anavyositiriwa na Mamlaka unahisi kabisa si mpiga kelele na huenda ni Monitor 😆