Huyu mtu ni nani hasa katika siasa za Tanzania?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200


Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake?

Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa!

Ni nani huyu mtu kwenye siasa za Tanzania?!

Ana nguvu gani mtu huyu kwenye siasa zetu hapa Tanzania?!
 
Hana lolote huyo ni bwege tu hana lolote zaidi ya anatafuta sifa tu.
 
He is nobody believe me, attention seeker tu.

Angekuwa mjanja asingeenda kulia nyumbani kwa Karia.
 
Kwani nyie mnamfahamu vipi!?
Usijekuta hata hamumfahamu ila mnadhani mnamfahamu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Binafsi namfahamu kama mpiga kelele wa Yanga lakini anavyositiriwa na Mamlaka unahisi kabisa si mpiga kelele na huenda ni Monitor ๐Ÿ˜†
 
Watozonia wanapenda ujinga, ukiwa mjinga watakupenda na kukupandisha hadhi
 
Binafsi namfahamu kama mpiga kelele wa Yanga lakini anavyositiriwa na Mamlaka unahisi kabisa si mpiga kelele na huenda ni Monitor ๐Ÿ˜†

Wacha tujenge nchi Suzy
Uwe na wiki yenye baraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ