Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

Kibaraka wa wazungu jichanganyeni
Ameuza kipandenchochote cha ardhi nchi hii? Bandari kauza yeye? Gesi yetu ya songosongo kauza yeye?! Migodi yote ya dhahabu na tanzanite kauza yeye?! Benki zetu za biashara? Loliondo, vitalu vyauwindsji? Hoteli za kitalii? Kwanini hao waliuza hizo rasimali zetu wasiitwe vibaraka Leo tumwite mtu ambaye anapigania uongozi ndani ya chama cha upinzani awe kibaraka,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…