Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili.

Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu vya muhimu kwa Wanadamu na vinavyodhihirika.

Hii inatokana na kuibuka kwa matapeli wengi kwa jina la unabii na uinjilist kumbe ni nia yao tu ya kutimiza ndoto zao za kiuchumi na umaarufu.

Hata hivyo Usiku Huu nikiwa nasikiliza Redio Wapo FM redio yuko huyu Mtu anaiwa Dickson Cornel Kabigumila na sikuwa nimemjua jina.

Nimeanza kumsikiliza juzi kwa haraka haraka kichwa kika click kwanza. Nilisikia akifundisha neno la Mungu aliyehai.

Sasa leo amethibitisha kazi halisi za uwepo wa Mungu na nguvu zake

Amesema yeye na harakati zake za Uamsho zina lengo la kumthibitisha Yesu ktk maisha Halisi. To verify Jesus into Reality of life.

Mpango wa ibada zake zinashughulilia mambo kadhaa

1. Kuponya wagonjwa wale waliothibitishwa nahospitalini na amewataka waenda na ushahidi wa kidaktari au dawa wanazotumia au Shahidi awe rafiki, mzazi au muuguzi.

2. Kuwainua watumishi wa Mungu ambao huduma zao hazikui ili Mungu awape nguvu na wakawe mashuhuda wa kazi za Yesu.

3. Wale wenye shida za ndoa na mahusiano ya halali.

4. Wale ambao hawana shida yoyote lakini wanataka Mungu awatumia kuinua watu wengine.

Amewakaribisha wagonjwa wa Ukimwi, Kansa, Ulenavu, Pumu, vidonda vya tumbo, presha na kwamba siku hiyo ndio mwisho wa kumeza madawa na magonjwa yao pia.

Amesema hakuna mchango bali kuna Sadaka tu na mtu atatoa kadiri ya alivyojaliwa.

Amesema Ibada za Uamsho zinafanyika ktk Viwanja vya Sabasaba Temeke Jijini Dar Es Salaam Mchana Jumapili saa Nane ili watu wapatw fursa ya kuhudhuria baada ya kutoka kwenye Ibada ya makanisa yao

Ndani ya Muda kama Dakika 20 hivi tayari watu zaidi ya 200 wamejisajiri ktk Huduma hiyo wengi wao Wakitaja wana Maambukizi ya VVU. Kwa Takwimu zangu wanafika takribani 40%.
Mazee Ukimwi Upo tuwe makini😅😅.

Nilitamani kuhudhuria bahati mbaya siku hiyo Tare 27 nitakuwa safarini.

Lakini naamini kwa Nguvu za Mungu nitahudhuria by proxy na nitazipokea neema na uponyaji wa Mungu.

Pastor Dickson Cornel ni mbobevu ktk neno la Mungu.

Kila anachotaja anatoa reference ya Maandiko matakatifu ktk Biblia.

Ndugu zangu kama unachangamoto yoyote tafadhali hudhuria Ibada ya uamsho huyu ni Mtumishi wa Mungu, ni Elia wa nyakati zetu.
 
Mi huwa nawaonea huruma wanaosema MUNGU hayupo
Kaka baada ya kumsikiliza huyu Cornel nimekiri Mungu yupo.

Jamaa amesema watakaoenda wakiwa na tabia sugu za ushoga, uzinzi, wizi, usagaji watapona moja kwa moja maisha yao yoote na wala wasiende kujaribu Yeye na Team yake wanajua wanachofanya. Hakuna majaribio.

Hapo anatupia na mistari mitatu ya maandiko matakatifu tena yeye relavance sio kama wale wazee wa kutapisha watu nyoka na misumeno kwa kunywa mafuta
 
Mwambie huyo pastor tapeli wako aje temeke hospital kesho kuna wagonjwa Kama 10 hivi wa ukimwi . Awaponye

Wajinga wajinga kama nyie ni wengi sana . Na Mungu wenu wa kizungu.
 
Walete hao wagonjwa Temeke na Saba saba sio Mbali. Waende kwa Bwana Yesu Kristo wakaponywe.
 
Kaka baada ya kumsikiliza huyu Cornel nimekiri Mungu yupo.

Jamaa amesema watakaoenda wakiwa na tabia sugu za ushoga, uzinzi, wizi, usagaji watapona moja kwa moja maisha yao yoote na wala wasiende kujaribu Yeye na Team yake wanajua wanachofanya. Hakuna majaribio.

Hapo anatupia na mistari mitatu ya maandiko matakatifu tena yeye relavance sio kama wale wazee wa kutapisha watu nyoka na misumeno kwa kunywa mafuta
Kaka kwa niliyoyapitia kwenye maisha yangu mpaka sasa sina upinzani ni kweli MUNGU yupo kikubwa kuwa na imani thabiti tu
 
Kaka baada ya kumsikiliza huyu Cornel nimekiri Mungu yupo.

Jamaa amesema watakaoenda wakiwa na tabia sugu za ushoga, uzinzi, wizi, usagaji watapona moja kwa moja maisha yao yoote na wala wasiende kujaribu Yeye na Team yake wanajua wanachofanya. Hakuna majaribio.

Hapo anatupia na mistari mitatu ya maandiko matakatifu tena yeye relavance sio kama wale wazee wa kutapisha watu nyoka na misumeno kwa kunywa mafuta
Mkutano utafanyika wapi?
 
Back
Top Bottom