Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Bwana akutie nguvuMimi ni mbishi kutokana na wingi wa taarifa na maarifa lakini kwa Huyu Bwana nimekaa chini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana akutie nguvuMimi ni mbishi kutokana na wingi wa taarifa na maarifa lakini kwa Huyu Bwana nimekaa chini.
Ameni ameniBwana akutie nguvu
Tuko pamoja mkuuAmeni ameni
Asante sana mtumishiTuko pamoja mkuu
Mkuu unapatikana pande zpAsante sana mtumishi
Kwa sasa nimeingia Jiji la Mkuu wa Mkoa wa Dar Es SalaamMkuu unapatikana pande zp
😂. Tunge funga hospitals zote Kama tapeli wako angekuwa anatibu .Walete hao wagonjwa Temeke na Saba saba sio Mbali. Waende kwa Bwana Yesu Kristo wakaponywe.
Mkuu Hata Yesu hakukusanya walemavu wote wa Yerusalem...wale walioamini na kumfata waliponywa...acheni hoja dhaifu.😂. Tunge funga hospitals zote Kama tapeli wako angekuwa anatibu .
Mzee wa Bapa Kubwa ameshakengeuka huyo.
Ni Kweli Yesu hakuwa Mkristo bali alikuwa Kristo. Waliomfata ndio huitwa Wakristo.
😂 yesu wa Israel wanaenda hospitals wewe mwafrica yesu wakuambiwa unatibu kwa jina lake ,Mkuu Hata Yesu hakukusanya walemavu wote wa Yerusalem...wale walioamini na kumfata waliponywa...acheni hoja dhaifu.
Huyu mbwiga kwako ndiyo point of reference? Pamoja na kwamba dini zote ni usanii na utapeli mtupu ila ni kichekesho sana na umbumbumbu uliokithiri kumtumia mtu asiyejielewa kama huyo mlevi to prove your religious views.
Upako na ukristo wapi na wapi, mganga wa broila, sio hata kienyejiMzee wa upako umemsikia?
Umemsikia kasema nini?H
Huyu mbwiga kwako ndiyo point of reference? Pamoja na kwamba dini zote ni usanii na utapeli mtupu ila ni kichekesho sana na umbumbumbu uliokithiri kumtumia mtu asiyejielewa kama huyo mlevi to prove your religious views.
Pathetic.
Umemsikia kasema nini?
Kasema upuuzi mtupu kama wasemavyo masheikh na wachungaji, usanii mtupu.
Hoja dhaifu sana kwa mtu anayetumia akili yake vizuri na siyo ya kushikiwa.
Kumbe hajaingia kanisani?Hoja dhaifu sana kwa mtu anayetumia akili yake vizuri na siyo ya kushikiwa.
Swali : Yesu aliingia msikitini??
Jibu: Hapana, aliingia katika sinagogi ambayo maana yake ni hekalu la kufanyia ibada kwa waumini wa kiyahudi.
Swali: Kwa nini wengine husema aliingia msikitini??
Jibu: Maana nyingine ya sinagogi kwa lugha ya kiswahili hujulikana kama misikiti ya kiyahudi.
Wenyewe huishia kusema msikitini hawaendelei kusema ni msikiti gani! Ukiangalia jengo la sinagogi (wayahudi) na msikiti (waislamu ) ni mbingu na ardhi
Sinagogi: Hakuna mfumo maalumu(blue print) kuhusu ujenzi wake.Hivyo sinagogi hutofautiana nchi na nchi.
View attachment 3135317
Hili lipo Ufaransa
View attachment 3135316
Hili la Uingereza
View attachment 3135318
Hili ni la Jerusalem
synagogue
a building in which Jewish people worship and study their religion
![]()
synagogue
1. a building in which Jewish people worship and study their religion 2. a…dictionary.cambridge.org
Msikiti: Ujenzi wake hufuata mfumo maalumu(blue print) dunia nzima, yaani ujenzi wake wa nje na ndani plus alama zake hufanana karibu dunia nzima.
mosque
a building for Islamic religious activities and worship
View attachment 3135335View attachment 3135336
View attachment 3135337
Nb: Tutumie akili zetu vizuri kwani vitu vingine ni vya kawaida sana! Kuna tamthiliya za mataifa mbalimbali zinaonyeshwa hapa nchini, unaweza kuona jinsi tamaduni zao zilivyokuwa na dini ni sehemu ya huo utamaduni.
Hoja inajengwa hapa ni kuwa aliingia kwa maana ya kwamba hilo jengo (sinagogi) ndiyo alitumia kusambaza ujumbe wake kwa waumini wake.(Hii ni kiimani zaidi)Kumbe hajaingia kanisani?
Yesu haujuwi ukristo wala mkristo.Hoja inajengwa hapa ni kuwa aliingia kwa maana ya kwamba hilo jengo (sinagogi) ndiyo alitumia kusambaza ujumbe wake kwa waumini wake.(Hii ni kiimani zaidi)
Ukweli: Yesu alikuwa myahudi na aliingia kwenye nyumba zao za ibada.
Mfano : Nguzo kuu za uislamu ni tano.
Swali: Adamu alizifanya vipi hizo nguzo??
The Five Pillars of Islam
![]()
The Five Pillars of Islam
The Five Pillars are the core beliefs and practices of Islam.www.metmuseum.org