Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

😂. Tunge funga hospitals zote Kama tapeli wako angekuwa anatibu .
Mkuu Hata Yesu hakukusanya walemavu wote wa Yerusalem...wale walioamini na kumfata waliponywa...acheni hoja dhaifu.
 
Mkuu Hata Yesu hakukusanya walemavu wote wa Yerusalem...wale walioamini na kumfata waliponywa...acheni hoja dhaifu.
😂 yesu wa Israel wanaenda hospitals wewe mwafrica yesu wakuambiwa unatibu kwa jina lake ,
Fala sana . Waliondika bible na Quran awana nipango Nazo . Nyie mnakomaa tu
 
H

Huyu mbwiga kwako ndiyo point of reference? Pamoja na kwamba dini zote ni usanii na utapeli mtupu ila ni kichekesho sana na umbumbumbu uliokithiri kumtumia mtu asiyejielewa kama huyo mlevi to prove your religious views.
Pathetic.
Umemsikia kasema nini?
 
Hoja dhaifu sana kwa mtu anayetumia akili yake vizuri na siyo ya kushikiwa.

Swali : Yesu aliingia msikitini??

Jibu: Hapana, aliingia katika sinagogi ambayo maana yake ni hekalu la kufanyia ibada kwa waumini wa kiyahudi.

Swali: Kwa nini wengine husema aliingia msikitini??

Jibu: Maana nyingine ya sinagogi kwa lugha ya kiswahili hujulikana kama misikiti ya kiyahudi.


Wenyewe huishia kusema msikitini hawaendelei kusema ni msikiti gani! Ukiangalia jengo la sinagogi (wayahudi) na msikiti (waislamu ) ni mbingu na ardhi

Sinagogi: Hakuna mfumo maalumu(blue print) kuhusu ujenzi wake.Hivyo sinagogi hutofautiana nchi na nchi.

Hili lipo Ufaransa


Hili la Uingereza


Hili ni la Jerusalem
synagogue

a building in which Jewish people worship and study their religion


Msikiti: Ujenzi wake hufuata mfumo maalumu(blue print) dunia nzima, yaani ujenzi wake wa nje na ndani plus alama zake hufanana karibu dunia nzima.

mosque

a building for Islamic religious activities and worship





Nb: Tutumie akili zetu vizuri kwani vitu vingine ni vya kawaida sana! Kuna tamthiliya za mataifa mbalimbali zinaonyeshwa hapa nchini, unaweza kuona jinsi tamaduni zao zilivyokuwa na dini ni sehemu ya huo utamaduni.
 

Attachments

  • download (2).jpg
    8.4 KB · Views: 2
Kumbe hajaingia kanisani?


Yesu hata neno Ukristo au mkristo halijuwi.
 
Kumbe hajaingia kanisani?
Hoja inajengwa hapa ni kuwa aliingia kwa maana ya kwamba hilo jengo (sinagogi) ndiyo alitumia kusambaza ujumbe wake kwa waumini wake.(Hii ni kiimani zaidi)

Ukweli: Yesu alikuwa myahudi na aliingia kwenye nyumba zao za ibada.

Mfano : Nguzo kuu za uislamu ni tano.

Swali: Adamu alizifanya vipi hizo nguzo??

The Five Pillars of Islam​


 
Yesu haujuwi ukristo wala mkristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…