Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

Yesu haujuwi ukristo wala mkristo.
Huu ndiyo ukweli kwani alikuwa myahudi. Ni kama Adamu asivyomtambua mtume Muhammad kwani hajawahi kumuona na hakifahamu kitabu chake cha Quran.
 
Huu ndiyo ukweli kwani alikuwa myahudi. Ni kama Adamu asivyomtambua mtume Muhammad kwani hajawahi kumuona na hakifahamu kitabu chake cha Quran.
Mradi Yesu si Mungu hakuna shida.

Adam hata wewe na mimi.

Naona lugha inakupiga chenga, adam siyo jina ni sifa.
 
Naona lugha inakupiga chenga, adam siyo jina ni sifa.
Adamu

mtu anayeaminika kuwa wa kwanza kuumbwa na Mwenyezi Mungu

Mradi Yesu si Mungu hakuna shida.
Mradi mtume alioa zaidi ya wanawake wanne hakuna shida! Hivi Mungu alisemaje kwani kuhusu idadi ya wanawake??

How Many Wives Did The Prophet Muhammad Have?​


In summary, the Prophet Muhammad PBUH had eleven wives.

 
Jamani huyu ni yeye mwenyewe anatafuta wateja wa kumpelekea laki laki.
Hivi mtu tangu uzaliwe mpaka ufike umri wa miaka 20+ eti wahubiri wote hujawahi kuwaelewa ila huyu. Aki expire anakuja mwingine unahemka.
Mtu afundishwe kusoma na kuandika shuleni halafu asome biblia kwa kiswahili halafu aje akwambie kajazwa upako akuhadithie vile vile bila kuongeza nukta wala kupunguza(mimic au immitation) .
Kwa nini hakuna wanaopata upako bila kujua kusoma kisha wapate ufunuo bila kuisoma hio biblia. Upako upo provided unajua kusoma biblia.
Kwa nini msiseme tu kuwa mtu kaisoma biblia hivyo kaikariri na anauwezo mkubwa wa kutema madini bila kubabaika.
kama computer programming au kitabu cha ushairi Jinsi unavyo soma code na kuzi chapa ndivyo unakuwa muandishi mzuri. Jinsi unavyosoma mashairi kwa wingi ndivyo unavyokariri na kupata uwezo wa kutunga mashairi. Hata mziki ndio hivyo hivyo.
Kama ni hivyo basi unabii upo kwenye kika kitu hata soka.
 

Bila kuppesa
wewe umetumwa na huyo nanii ako uje kutafuta wafuasi humu,
yani mtu umemskia redioni hata hujaonana nae, tena hata kusanyiko lenyewe halifanyika tayari unaamini na unatuamisha eti ni nabii wa kweli mmmmh?
km kuna watu watakuamini basi nao ni wagonjwa pengine zaid yako
Hv nikuulize ni kipi umefanyiwa au ni mabadiliko yapi umeyashuhudia hadi kututaka na nasisi kumuamini huyo nanii wako?
 
Muhimu hapo jitahidi ukutane na Mungu mwenyewe aitwaye Yesu Kristo.

Huyo mtumishi ni WA kupita tu, lakini Yesu ni WA milele na milele.

Aamin
 
Imani ni kuwa na hakika ya mambo usiyoyaoni na ni Bayana ya mambo yatarajiwayo.
 
Huhitaji kubishana......Nenda Saba saba kesho kwa imani moja utuletee mrejesho
 
LIPIA TANGAZO ALAFU NDIO TWENDE
 
Kuna mapori mengi yanahitaji watu, kwa nini tusilime tukawa tunawauzia Ulaya mahindi na ngano?

Tusiwakamue walala hoi kwa kile kidogo walichonacho kwa maigizo; tufanye kazi.

Maandiko; Yesu aliwalisha wafuasi wake mikate, ila nyakati hizi wafuasi ndio wanaotakiwa kuwalisha wahubiri mikate, hii haiko sawa kabisa; tufanye kazi inayozalisha, mapori ni mengi yanahitaji nguvu kazi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…